First eleven ya jf

1.gk...mzee mwanakijiji 2.
2. lb...rutashubanyuma
3. rb..arsene wenger
4. cb..kaka kiiza
5. cb..acid
6. dm.paka mweusi
7. lwb..mlalahoi
8. rwb..EL TORO
9. cm..malaria sugu
10. ss..rev masanilo

coach...invisible

referees
mod 1
mod 2

cheer leaders
rose1980
maria rosa
fab
afrodenz
dena ams
first lady
wise lady
preta
mwanajamii

Timu mbona haijafikia 11, na propose hapo hiyo nafasi apewe Mwanakijiji alafu Genekai aliyesema ana experience kubwa ya ugolikipa achukue nafasi ya mwanakijiji.

Mchungaji Masanilo hataki kucheza na MS hivyo ni vema MS apangiwe na mchezaji watakayeelewana nae na huyo si mwingine bali ni Kibunango aka CCM. au mwenye kujua ID ya Ridhiwani humu JF atujuze ili awe substitute ya Kibunango!
 
mwenyekiti kamati ya 'kalufundi ka ziada'.... ili tushinde ...MZIZIMKAVU!:teeth::teeth::teeth:
 
Hiii timu batili yaani nyani hayupo basi imechakachuliwa hii!
Aseee mimi mchaga ntaangalia mapa mapatooo getini aisee!
 
nachomkubali striker MS zaidi ya spidi yake uwanjani,stamina na pumzi ni tabia yake ya kuwapuuza na kuwatia hasira wapinzani wake....
 
NYONGEZA KWENYE USHANGILIAJI................PRETA kiongozi wa mikakati ya ushingiliaji

Pia kamati ya "Ufundi" .....Dar-es-Salaam na "ThinkTwice"

sawa kabisa na naomba nielezwe rangi ya timu ili niweze kutengeneza nguo za cheer leaders
 
sawa kabisa na naomba nielezwe rangi ya timu ili niweze kutengeneza nguo za cheer leaders

rangi za jf...dadaangu! na nitaomba ziwe fupi kama hiyo kwenye avatar ilikuwapa hamasa wachezaji
 
gk...mzee mwanakijiji
lb...rutashubanyuma
rb..arsene wenger
cb..kaka kiiza
cb..acid
dm.paka mweusi
lwb..mlalahoi
rwb..EL TORO
cm..malaria sugu
ss..rev masanilo

coach...invisible

referees
mod 1
mod 2

cheer leaders
rose1980
maria rosa
fab
afrodenz
dena ams
first lady
wise lady
preta
mwanajamii

Mpambe wa kocha KIHEREHERE,
Muokota mipira NG'WANANGWA

Na na wachezaji watakaoachwa dirisha dogo, GENIUS BRAIN na DAR ES SALAAM
 
gemu la kwanza tunakipiga na wikileaks la pili tunakiputa na fesibuk la tatu ndio litakuwa kali tunakipiga na website ya kikwete.

gemu ya mwisho balaaa....ya fesbuk mtelezo hiyo dar-es-salaam lazima aanze
 
Utashuka kiwango hadi mwisho...na ukirudi kwetu hata bench hulambi...tutakuhamishia jukwaa la washangiliaji na wabeba jezi

Unavyo comment utafikiri na wewe uko kwenye hiyo timu.... au wewe ndo akina Kumwembe, au Riki??? maana utafiki umwtajwa!!!!
 
gemu la kwanza tunakipiga na wikileaks la pili tunakiputa na fesibuk la tatu ndio litakuwa kali tunakipiga na website ya kikwete.

mmmh...hiyo timu ya tatu......sijui nijitoe kwenye safu ya cheer leaderz.....unanishaurije?
 
mmmh...hiyo timu ya tatu......sijui nijitoe kwenye safu ya cheer leaderz.....unanishaurije?

hamna kujitoa, tunakomaa nao. nasisitiza rushwa zote za kuuza gemu zipitie kwangu. macheer leaders hakikisheni mnavaa makufuli, msije mkatupotezea konsentresheni uwanjani.
 
hamna kujitoa, tunakomaa nao. nasisitiza rushwa zote za kuuza gemu zipitie kwangu. macheer leaders hakikisheni mnavaa makufuli, msije mkatupotezea konsentresheni uwanjani.

looo....tutajaribu kujitahidi....unaweza kuwa na makisio wachezaji wa timu namba tatu ni kina nani?
 
Back
Top Bottom