Firefox 4 Outsmarts IE9!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
vs

statcounter1.png

Mozilla imeshaachia Firefox 4, na chini ya nusu siku imeshakuwa downloaded mara mbili ya IE9(Internet Explorer 9) ambayo Microsoft walijisifu sana.
Sasa hivi website analytics wa Kampuni ya StatCounter wanasema browser hiyo mpya ya Mozilla imeshachukua 1.95% ya soko la dunia la Internet browsers..
Kwa kulinganisha,StatsCounter inaongeza kwamba Internet Explorer 9 imechukua 0.87% ya soko la dunia la Internet browsers ikiwa ni wiki sasa tangu iachie mzigo.
Na kama unavyoweza kujionea kutoka kwenye picha hapo juu, sio Firefox 4 peke yake bali pia toleo jipya la Opera 11inaongoza kidogo juu ya IE9 mpaka sasa hivi.
Cha kuzingatia: Internet Explorer 9 haiingiliani na Windows XP, Operating System iliyoachiwa miaka 10 iliyopita lakini inaongoza kwa watumiaji wengi duniani.
Kama version zote za browser zitazingatiwa, IE bado inaondoza kwa 45% kwenye soko la dunia, ikifuatiwa na Firefox ambayo ina 30% na Chrome yenye 17%.Web analytics wa kampuni ya StatCounter hivi karibuni wameripoti kwamba Firefox wamewapita IE na kuwa Browser namba moja Europe, kwa mara ya kwanza tangu December 2010.
Kwa US pekee, IE (version zote zikiwa combined) inaongoza kwa gap kubwa: 48%, ikifuatiwa na Firefox 26% na Chrome yenye 14%.
 
sijui stats za TZ zikoje.....by the way, nani/kampuni gani inadeal na stats hapa tz?
 
Kwa wale wanapenda statitics na kufanya reseach wenyewe haya download tool hiyo ujue ni broswer gani bora
Download details: Measuring Browser Performance: Understanding issues in benchmarking and performance analysis

Sasa ukidwnload sasa hivi hiyo firefox 4 mbona unaweza ukakosa application nyingine.It is always adviced people wasikimbilie ku uupgrade. wInatakiwa utoe nafasi japo ya update au fix moja au mbili zifanyike . Unless utakuwa tester bila kujijua .

Unaweza kujikuta umeupgrage jina tu but ume downgrade perfomances and services. WIndowsVista ilinifundisha.

Napenda firefo but hii version mpya nitaipakua may be after two weeks
 
Inategemea kama ni overall ratings(IE inaongoza) anu ratings za siku za karibuni(Firefox inaongoza)
 
Back
Top Bottom