Finland, Sweden zile speed za kujiunga Nato zimeishia wapi?

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,543
Salama wandugu,

Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
 
Walipoyaona haya wakachimbia vichwa vyao mchangani.
IMG-20221002-WA0024.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchakato wa kujiunga NATO si chini ya mwaka mmoja tangu nchi ipeleke maombi.
Kitulize na ujielimishe mambo kabla ya kukurupuka.
Salama wandugu,

Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine kama haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
 
Mchakato wa kujiunga NATO si chini ya mwaka mmoja tangu nchi ipeleke maombi.
Kitulize na ujielimishe mambo kabla ya kukurupuka.
Wao wenyewe walitaka ndani kipindi kifupi acha uzuzu wewe

If his objections are overcome, and accession talks go as well as expected, the two could become members within a few months. The process usually takes eight to 12 months, but NATO wants to move quickly given the threat from Russia hanging over the Nordic countries
 
Ni mwaka na nusu mkuu hakunaga kupindisha
 
sanctions zime-backfire, wa magharibi w@N@firik@ ile mbaya, Euro na GB Pound hali tete

7" Russian Steak ipo ndani, kuchomoa hawawezi
 
Salama wandugu,

Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
Process ya kujiunga Nato si kama ya kujiunga kifurushi. Hiyo kitu inachukua muda sana.
Currently wanasubiri majibu
 
Giyo inajulikana mkuu, lakini wao wenyewe NATO walisema watai-FAST TRACK ili wawe wanachama ndani ya miezi 6, Stolberg sijui mwenyewe aliongea.

Kumbuka haya maneno ya waNATO

"If his objections are overcome, and accession talks go as well as expected, the two could become members within a few months. The process usually takes eight to 12 months, but NATO wants to move quickly given the threat from Russia hanging over the Nordic countries"

So jamaa kuuliza yuko sahihi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwani miezi 6 imepita mpaka anaanza kuuliza?
 
Hivi wewe unaujua mziki wa Urusi ama?? Urusi isikiage tu kwenye magazeti na jamii forums ila Wazungu wanaijua Vizuri sana... hilo ni taifa la viwango vya juu tofauti kabisa na hawa wa magharibi (wazee wa upinde)
 
Sweden 🇸🇪 na Finland 🇫🇮 ni haki yao kujiunga au la na NATO, na NATO nao wana sheria zao za kujiunga na umoja wao, elewa unahitaji nchi zaidi ya 30 zikuunge mkono ili ajiunge nao, for latest information Turkey 🇹🇷, Hungary 🇭🇺 ni baadhi ya nchi zinazosubiriwa kutoa misimamo yao
 
Attachments

  • Screenshot_20221004-162155_Chrome.jpg
    Screenshot_20221004-162155_Chrome.jpg
    59.2 KB · Views: 3
Salama wandugu,

Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
Maombi yalipokelewa ingawa ni process mpaka wanachama wote wa Nato wapige kura ya ndio kama ulifuatilia Uturuki alileta kauzibe lakini ata kwa mujibu wa Biden sio issue, US kwanza wameona la muhimu ni kumtoa adui Ukrean na muelekeo ni mkubwa, kwa taarifa za muda huu ni kwamba hakuna mji tena kwenye eneo la Ukrean ambao Russia wameutawala pekeo yao battle inaendelea kwenye hiyo miji 4 iliyopiga kura na tayari eneo kubwa lipo mikono mwa Ukrean
 
Back
Top Bottom