Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,770
- 54,085
Nime bahatika kusoma kitabu Cha Charles kimei, career finance & leadership. Kusema ukweli aliandika ukweli fulani.
Financial Literacy/Education must address Spiritual, Psychological, Emotional, and Technical aspects of Wealth ManagementKwa mfano ni elimu gani ya fedha ambayo benki hawatoi kwa wateja?
Financial Education must address Spiritual, Psychological, Emotional, and Technical aspects of Wealth ManagementKweli mkuu mtu anakopa pesa ananua gari anaenda nayo kazini anaipaki kuanzia asubuh mpaka jioni what a waste of money yaani more than 30 million or 20 million unaipaki kuanzia asubuh tena mkopo hapo bado garage bado mafuta yaani ni uzuzu inatakiwa ukikopa ufanye kitu cha kuingiza hela sio unaenda kuzika pesa na jamii imeshamezeshwa tayari na ni ngumu kuelewa.
Haiwezekani. Fuatilia kazi kuu za bank utanielewa boss. Ni sawa na kusema hospitali zihakikishe hakuna mazalia ya mbu kwenye makazi ili kuondoa Malaria.Financial Literacy/Education must address Spiritual, Psychological, Emotional, and Technical aspects of Wealth Management
Ule ni mkataba kati yako na insurance, Bank ni dalali. Una term and condition. Ukisoma ile policy utanielewa boss.Kwenye Mkopo kuna kitu kinaitwa Loan Insurance. Hii unailipia pale wakat wa kukopa pesa. Hii inakulinda ww wakat ukishindwa kulipa mkopo. Kwahyo bank wanatakiwa walipwe na hyo insurance na sio kuuza mali zako.
Kinapatikana online mkuu.Nime bahatika kusoma kitabu Cha Charles kimei, career finance & leadership.
Kusema ukweli ali andika ukweli fulani
They can't do that they need money at all costs .Financial Education must address Spiritual, Psychological, Emotional, and Technical aspects of Wealth Management
Yap, though napendelea hard copy.Kinapatikana online mkuu.
Sawa nitakitafuta.Yap, though napendelea hard copy.
Last week my phone iliharibika....! Ndo lugha gani hii.....wanapenda sana kutumia vibinti vya chuo mwaka wa kwanza.....Last week my phone iliharibika nikaenda duka moja kukopa simu, nilikuta imebandikwa stiker 570k, nikaangalia ile simu sokoni ni 400k, nikasema sio mbaya maana nikikosa simu shughuli zangu zitasimama, nikaanza process zote kwenye kumaliza mpaka jioni naomba statement nakuta natakiwa kulipa 860k, bahati nzuri nilikua sijalipa malipo ya awali nikawaomba samahani kwa usumbufu nikatoka.
Online au kwenye app hawakatiVipi kwa mfano nikiisomea hiyo risiti mtandaoni. Je, bado watakata?
Nayaraka wakati unaomba kadi hazielezi Makato, tena siku hizi kadi unaomba kupitia app hujazi chochote Zaid ya pinHizo gharama za ATM haziji tu, kuna makubiano uliyakubali. Again nakuambia, lolote bank wanalofanya kwako bila makubaliano ni fursa kwako.
Nikuulize, hiyo ATM ulipewa bila makubaliano? Wakati unafungua akaunt na kuomba huduma ya kadi, ulisani nyaraka zipi? Zilikuwa zinasemaje?
Simbanking kupitia app yao hawakati ila ukipitia zile ussd codes wanakataNa hata simbanking, hawakwambii kiasi kilichobaki kwenye akaunti. Mpaka uulize ambapo nahisi kuna kiasi utahitaji kulipia, sio kama tigopesa and the like. Au ni akaunti yangu tu jamani
Twende taratibu boss. Kadi yako ni ya akunti aina gani? Ulipofungua hiyo akaunt nyaraka za kufungulia hazikuwa na maelezo kuhusu kadi iwapo utaihitaji?Nayaraka wakati unaomba kadi hazielezi Makato, tena siku hizi kadi unaomba kupitia app hujazi chochote Zaid ya pin
Hii mimi nilishaacha kuchukua risiti ila cha ajabu kila muamala wananitumia meseji ya salio, nataka siku nikiwa free nikachukue statement nione hizo meseji za salio wananikata au la, na kama wanakata watajua hawajui maana kawaida huwa napokea meseji ikisema tu nimetoa hela kiasi fulani, lakini baada ya kuacha kutoa risiti naanza kupokea meseji za salio kila nikitoa hela, nahisi kama wanafosi sana kukata salio check fees.Huwezi kuona kwenye Atm, Kuna gharama za miamala!
Zile karatasi zinazotupwa kwenye dust bins benki wameshachaji!!! Laiti kama watu wangejua gharama za kutaka Ile receipt ambayo wanasoma tu balance na kuitupa kwenye bin , wasingeitaka Ile receipt , na benki zingekosa mapato,
Kila mtu akiwa mjanja na kila mtu akawa na pesa nani afanye kazi kufanya uzalishaji nchi iende mbele?Mabenki wanaweza wapatia wateja wao kila aina ya elimu ila sio Financial educaion, hio hawawezi itoa hata kwa bunduki make wanajua itawakosesha wateja wengi sana.
Na ukweli ni kwamba upigwaji kwenye mikopo ni kwa sababu watu hatuna elimu ya kifedha hilo ndio tatizo, hakuna tatizo jingine. Asilimua kubwa ya wakopaji hawana hio elimu na Mabenki hawataku kabisa watu waipate.
Mtu anakopa ukianza kumuuliza maswali unaona kabisa hapa kuna shida kubwa sana.
Kuna Project moja tulikuwa tunafanya na NGO moja kubwa sana, sasa ikawa inahusu kufanya kazi na Banki moja wapi kubwa sana Tanzania. Project ilihusu pia kutoa elimu ya kifedha kwa wanavikundi then wawe linked na Banki kwa ajili ya Saving na Loan, Sasa kwenye swala la Financial education hapo Benki wakakataa wakasema itolewe tu Financial linkage education na tuachane na Financial education.
Hawakuweka wazi sababu za kukataa Financial education ila tulijua tu sababu ni itaenda kinyume na siri zao za kukopesha.
Kwenye kukosa elimu ya kifedha hapo ndio Mabenki na hizi taasisi zingine zinazo toa mikopo wanako tajirikia. Ukiaona walimu sijui wafanya kazi wanalia lia na mikopo kisa ni Financia education hawakuwa nayo na wangekuwa nayo wange weza hata kughairi kwenda kukopa pesa.
Mabenki wanaweza toa sana elimu za ujasiriamali ila sio elimu ya kifedha.
Ni elimu inayo paswa kutolewa sana kwenye jamii hasa walimu ambao ni wahanga wakuu wa mikopo, shida nani anatoa hio elimu?