Finally,nimeamua kufunguka....

Naona kama umekosea sehemu ya kufungukia, ungekuja kwenye
White party ndio ungejua umekosea njia..
hapa jf kuna mijimama, mipashkuna, suburi uongeze umri kidogo

Wacha kumkatisha snochet tamaa bwana. Katika hali ya kawaida watoto wa 18 to 22 hawaendi ma white parties yenu huko. watakuja kufanya nini? na nanii atawapa ruhusa? No wonder only mijimama turned up.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Asprin, Teamo, Preta, Zion Daughter Bigirita na wengine tumsaidie huyu kijana kupata mpenzi, mbona maneno yenu yanavunja moyo kwa mtu anae tafuta mpenzi.
mkuu wetu kiranja the thing is kwa uzoefu wa mtandao ambao tulio wengi tumeupitia ni vyema sana kumsapoti dogo WITH PRECAUTIONS...ili asije iumiza nafsi yake.....!kwa hiyo ndo maana tunamwekea na baaadhi ya sheria za mambo yeetu yaaaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ili awe anaelewa what is happening....this is the other way of teaching if yuu nooo woooraaaaameeeeen!
 
Wacha kumkatisha snochet tamaa bwana. Katika hali ya kawaida watoto wa 18 to 22 hawaendi ma white parties yenu huko. watakuja kufanya nini? na nanii atawapa ruhusa? No wonder only mijimama turned up.

Ungesema akina mama nisingedoubt nakubali mimi ni mama lkn mijimama!!??? Kweli??! Roulette?!
 
Last edited by a moderator:
Y so bro!u only kip sayin abt mazuri how abt upande wa pili wa shilingi!!Ili 2make a clear judgement!!
 
Ndugu zangu wa MMU,
Leo nimeamua kufunguka rasmi
Nimekutana na thread zilizopita zikanipa na mimi munkari zaidi,mara nyingi naandikaga lakini nafutilia mbali ila leo nimeamua kumwaga wino kabisa.
Nimefikia hatua ambayo nafikiri itakuwa vyema kama nikiwa na girlfriend,ila nisingependa tuanze tu "paap" kwamba tunakuwa kwenye uhusiano,ningefurahi sana kama tungeanza kama marafiki ndipo we can move forward.
Kuhusu mimi:
Kwa sasa nina umri wa miaka 23,University graduate,pia ni mfanyakazi.Napenda sana kutumia computers na internet,Photography,Kuogelea,Kutembea,Occassional Drinker,Napenda kusoma na kusafiri…ni mwaminifu.Nina ratiba ndefu kila siku na ningependelea kupata mtu aliye busy pia,mtu wa kubadilishana nae mawazo na kushauriana kila nipatapo nafasi.
Najua kazi nyingi za nyumbani (naweza kupika vizuri,pia najua ukulima na ufugaji),I can fix things vikiharibika,napenda utani na napenda kujifunza kila nipatapo nafasi.
Mimi ni mkristo, ninaufahamu uislam na nimejifunza kuhusu madhehebu mengine.Naheshimu sheria na taratibu za dini zote….dini sio kigezo kwangu.
Nimeishi sehemu tofauti hapahapa Tanzania ila kwa sasa napatikana Mkoa wa Kilimanjaro(Moshi) ambapo nipo kikazi.
Sifa za nitayependa awe rafiki yangu wa kike:
Natafuta msichana aliye mwaminifu,mcha Mungu,msikivu,anayejiheshimu,aliyeelimika,awe anajitambua na kujua ndoto za maisha yake,awe anapenda kujiendeleza.ambaye tutaendana interests itakuwa vyema zaidi.
Age 18-22(naamini wapo humu JF).Ningependelea zaidi kama atakuwa na account ya facebook/myspace,awe ananitumia text na kuongea na mimi kwenye simu daily.good personality na ambaye atakuwa interested na mimi.
Awe anaishi karibu na mimi(sitapendelea awe anaishi mbali sana na mimi)
Mengineyo:
I am too young kuwa mume kwa sasa.tutaanza kama marafiki,na kama wote tuta-qualify kwa pande zote mbili,we can move on kwenye hatua zingine.


Referrees wanaonifahamu in person:mad:roulette , Puppy Mwali na matwi
Mawasiliano terms:tutawasiliana zaidi kwa JF pamoja na skype.Baada ya kufahamiana tutabadilishana namba za simu.Tutafahamiana zaidi kadri Muda uendavyo..(Kwa sasa ni PM za JF tu!)

Niko very serious….ONLY those who are serious should contact me.


Cc:Familia yangu ya JF watu8 MadameX Chimbuvu nitonye Pipi lara 1 Amoeba Judgement Zinduna MziziMkavu AshaDii neggirl C6 Arushaone Bigirita Bishanga Bujibuji figganigga madameb sweetlady St. Paka Mweusi Nicas Mtei

inshallah utampata!!!!
 
Hahah...kaka mbona nipo kitambo tu ila hapa JF nilibatizwa February 2010...

Asprin hebu toa muongozo kwa hawa wakuu...

Hawa ndo wale walikuwa wanakuja kukaa kaunta pale kwa mzee wa Unataka nyonyo...wanatuangalia wanaogopa wanatambaa zao.
watu8 mbona unajificha bana!! nini mbaya ariffeyyy!!!
 
Last edited by a moderator:
halaf akija jamvini anajiita mpwa eti......!hahahahahahah!jf laha sana samtaim

Hahah naona msamiati "mpwa" unataka kuleta zogo loh!! haya wakuu ngoja niwaachie nyie wenyewe muendeleze libeneke la kuitana hivyo.
Mpwa Nicas Mtei kuja pande hii tumtafutie best yetu binti wa kuukonga mtima wake...
 
Last edited by a moderator:
snochet ni mdogo wangu na rafiki yangu wa karibu sana. I am sure he will make his friend/girlfriend a happy woman. He is a VERY sensitive person, available and ready to help. He is honest and he holds values that most of us would want to see in a brother/a man. He is moderate in most of his believes and quite open to different thinking. He is curious and tolerant. He is very smart and holds structured arguments in his discussions with me, which makes him one of the best companies I have. Tunapishana kwa dini na siasa but this has never been a problem and far from dividing us it has helped me understand better christianity and Chadema. Likewise, na yeye amegundua mengi kupitia maongezi yetu.
Although we don't live in the same town we communicate very often. I really hope he will find a girl who deserves him. Good luck hun, I am sure atajitokeza mmoja atakae meet expectations zako.

Duh!.. Roulette
Hii recommendation inafaa kotekote..kutafutia kazi UN na kuendea ukweni pia...lol
 
Last edited by a moderator:
ningekuwa nahitaji ningeshamwambia niko na my husband Mentor kwanini nijichoshe na hako katoto kenye kuvalishwa pampers masaa yote, watu tuna watu siye au we unanionaje mie ha ha haaaaa
Inauma sana mtu anatafuta mwanamke wakati wewe anakuona..lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom