Finalists washerehekea kumaliza masomo UDSM

Benchi litakuua,subiri uone.Unadhani mchezo!!!Ona,misifa huyoooo!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukweli uko palepale whether we like it or not,mtaani 2nawakaribisha sana ila mawazo mgando ya kutaka kusaka kazi jijini tu itawatokea puani labda km unachannel(vimemo) hata kama ni nje ya jiji omba ukafanye upate experience kidogo,mtaa ni kugumu kama utabweteka usiogope soli ya kiatu kuisha katika kusaka kazi ukipata pa kujishikiza utanunua kipya ila kama fighter probability of succes ni kubwa kwako,as u knw mkataba wenu na HESLB(bodi ya mikopo)ume-expire tayari
 
Bienvenido a la nueva vida mis hermanos y hermanas! Felicitación para lo que han conseguido. Sólo pocas personas han alcanzado su nivel. El debe saber la mejor manera de aplicar lo que alcanzó en todos esos años. Ahora es el momento.
 
una maana gani?
 
Ukweli uko palepale whether we like it or not,mtaani 2nawakaribisha sana ila mawazo mgando ya kutaka kusaka kazi jijini tu itawatokea puani labda km unachannel(vimemo) hata kama ni nje ya jiji omba ukafanye upate experience kidogo,mtaa ni kugumu kama utabweteka usiogope soli ya kiatu kuisha katika kusaka kazi ukipata pa kujishikiza utanunua kipya ila kama fighter probability of succes ni kubwa kwako,as u knw mkataba wenu na HESLB(bodi ya mikopo)ume-expire tayari
daaah! Mkuu, umenitouch mpaka 'kumoyo' yani
 
Survival of the fittest theory states that "THE FIT WILL SURVIVE AND THE WEAK WILL PERISH" mlisurvive wote mkiwa chuo mkamaliza that was one world,ila mtaani is another world vita imeanza upya na theory inaendelea, msiogope karibuni sana
 
Back
Top Bottom