Finalists washerehekea kumaliza masomo UDSM

Sinkala

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
1,773
683
Muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi UDSM linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na Bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana SACCOs na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!
 
Ni vyema wakasherehekea kumalizia,ila wajiandae kupambana na maisha ya mtaani ambako bodi ya mikopo haipo,wafahamu kwamba maisha huku mtaani si lelemama.
 
Karibuni mtaani ambapo theory ya SURVIVAL OF THE FITTEST inakuwa reality na kila mmoja wao anahusika
 
Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
 
kusoma kwa sifa ni kupi? Watu waliosomea ualimu utawajua tu., ipende taaluma yako na wala utawaona wengine kwamba wanasoma kutaka sifa ambazo huwa hazkwepeki.
 
Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
 
Washeherekea mkuu,dah,ebu pita tataki hapo unoe ujuzi wa lugha
muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi udsm linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana saccos na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!
 
Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
 
muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi udsm linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana saccos na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!
karibuni mjitafutie...
 
Huu ndio wakati wa kujua,je ulikuwa sahihi kusoma fani uliyoichagua?Sheria,uchumi, ualimu n.k.Kama ulikuwa ukisoma kwa SIFA tu,habari ndo hiyo.Chagua moja,kunyoa AU kusuka!
wa2 mliosoma degree za ualimu mnajulikana 2!
 
Narudia tena;kifuatacho ni kusuka au kunyoa.Nani ambaye hathamini fani yake?Kama huna la maana,nyamaza.
 
Muda huu kuna kundi kubwa kiasi la wanafunzi UDSM linapiga tarumbeta kusherehekea mwisho wa mitihani na masomo yao baada ya miaka mitatu au minne ya chuoni kutegemeana na programu aliyosoma muhusika. Tuwakaribishe uraiani kupigana na maisha! Enzi za kugombana na Bodi ya mikopo sasa imefikia tamati, mikopo itapatikana SACCOs na kwenye mabenki kwa dhamana maalum. Tumieni elimu yenu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine. Kila la heri!

Source ya hii habari ama picha?
 
Narudia tena;kifuatacho ni kusuka au kunyoa.Nani ambaye hathamini fani yake?Kama huna la maana,nyamaza.
ndugu mwalimu chonde usiende kuchakachua wadogo zetu, kwanini hujiamini? Kwa upande sikufanya makosa hata kidogo kusoma nilichokisomea.
 
Back
Top Bottom