Filipo, tunakuhurumia Mzee Mwenzetu, Umelishwa nini?

Mkuu coverage utazipata kama kawaida, ila nimegundua members wa chitchat wanapendana sana.
Lile Jukwaa letu la stress nalipenda sana............................... angalia kwa mfano Membe naye kaingia kichwa kichwa kama kakake kusign mikataba uarabuni bila kuusoma. hii ni hatari sana kwa afya ya nchi yetu, ameonyesha udhaifu kabla hajaanza kujipitisha pitisha kutaka kukabidhiwa kiatu cha buraza.............go to hell membe!

Mkuu umenikumbusha ya mulugo na historia ya muungano wa tanzania alafu ndo waziri wa elimu
 
Mnatumia Limbwata gani nyie binadamu?,.,. ni ile ya Tanga au Mbulu?
Au mnawezeshana KITU CHA ARUSHA!

Si unaona na wewe umeanza kukolea taratiiibu mkuu PakaJimmy, na hapo kesho ukiingia tu JF stand ya kwanza huku jamvini, uzuri wa huku ni kuwa tofauti na kule kwenye jukwaa la stress.
 
Last edited by a moderator:

i. Huku hutaskia kelele za vyama kama ilivyo kule,

ii. Huku hutaskia kauli za kibaguzi kwa misingi ya dini.

iii.Huku unaweza hata kum kiss Madame B afu ruttashoborwa akakugongea like. yaani huku ni full shangwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom