Filipo, tunakuhurumia Mzee Mwenzetu, Umelishwa nini?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Wengi mwanzoni walikuwa wanajua kuwa Filipo ni mtu wa jukwaa la siasa, lakini baada ya kufahamiana na marejesho na sweetlady amebadilika kabisa, na alishaacha hata kuripoti matukio "Live" ya kisiasa.

Hizi chini ni comment za wadau waliokuwa wanamjua kuwa ni mtu wa Politiki:

By Mungi..."Huyu jamaa ametushitua sana....yaani hatuamini yeye kuhama Jukwaa la siasa"
By LIVEPOOLFC..."Jamaa katekwa na Chit-Chat kabisa, anasikitisha"
By IGWE...."Jamaa atakuwa kapata demu kule Chit-Chat, maana hakamati channeli kabisa
By Crashwise...Mi nilimstukia Filipo kuwa ni mwanasiasa-Uchwara, jamaa kwa mademu dhaifu sana"
By Saharavoice.. Filipo alidhani kwenye Jukwaa la siasa kuna kusifiwa, kumbe mikuki mitupu
By Preta..."Mwache aje chit-chat mwaya, hao waliotoka kwenye siasa ndio wazuri sana hao, wanaingia kichwakichwa!
By Blaki Womani..."siku hizi Filipo kajua hadi kusuta

Mzee mwenzangu Filipo, RUDI NYUMBANI, Chit-chat hapakufai!
 
Kwa kweli huyu mzee mwenzetu ametuacha hoi...hebu Madame B nipe mauzoefu, usikute na mimi na ndevu zangu za shaba nikaamua kuhamia umlajumla!....huh!

Yani PakaJimmy huku ChitChat ni full mautamu mpaka moyoni.
Ngoja waje wanaume wenye Mapartner zao humu ChitChat wakueleze ni kipi kinachowafanya Wasitembelee Majukwaa yenu.
Lol..!!!
 
Last edited by a moderator:
Wengi mwanzoni walikuwa wanajua kuwa Filipo ni mtu wa jukwaa la siasa, lakini baada ya kufahamiana na marejesho na sweetlady amebadilika kabisa, na alishaacha hata kuripoti matukio "Live" ya kisiasa.

Hizi chini ni comment za wadau waliokuwa wanamjua kuwa ni mtu wa Politiki:

Mzee mwenzangu Filipo, RUDI NYUMBANI, Chit-chat hapakufai!
Mwenyekiti umechakachua mbonasikumbuki kumrushia tuhuma hizi Filipo...lol
 
Mkuu Mungi, Inaonyesha watu wa chit-chat wako vizuri...
Angalia lakini mkuu usije ukahamishia majeshi huko, tutakosa Live-Coverage bana!

Mkuu coverage utazipata kama kawaida, ila nimegundua members wa chitchat wanapendana sana.
Lile Jukwaa letu la stress nalipenda sana............................... angalia kwa mfano Membe naye kaingia kichwa kichwa kama kakake kusign mikataba uarabuni bila kuusoma. hii ni hatari sana kwa afya ya nchi yetu, ameonyesha udhaifu kabla hajaanza kujipitisha pitisha kutaka kukabidhiwa kiatu cha buraza.............go to hell membe!
 
Mkuu Mungi,
Ukiwa Chit-chat jitahidi usiongelee kabisa siasa, naona mkuu umeshindwa kabisa kuendana na hili jukwaa!
Huku inabidi utajetaje watu sana, ndio jadi ya akina Filipo kwa sasa!
Mazowea mabaya jamani!

By ze way, Membe amejiengua mwenyewe kwenye hata ile nafasi ya kufikiriwa!...Inaonyesha tende zilikuwa zimeshaandikwa mezani, akaona atachelewa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom