Filipo, tunakuhurumia Mzee Mwenzetu, Umelishwa nini?

makubwa haya ulikuwa wapi hadi nibebe ya pakajimmy?pakajimmy is just my best friend naona unapata wivu sasa na unataka kurudisha nyuma juhudi za kukubadilisha,umenoa hata liverpool anajua huyu mtoto copy yako,

huo mpango wenu na PakaJimmy hautafanikiwa. Nibora mtulie, mumlee mtoto wenu maana mimi na marejesho si wawili tena bali tuwekuwa mwili mmoja!
 
Last edited by a moderator:
...jamani ee Mungi niache miaka mia mimi na Ruttashobolwa wangu.
Mvua 100!!
Nisalimie Ephrahim Kibonde nasikia ni Pacha wako Mungi.

Sawa Madame B, lakini usisahau kuja kunichua, fanya kama juzi......... Ruttashobolwa hana ujanja tena kwako umeshamweka kwenye mkono.............akileta wenge unampotezea kama juzi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,
Ulitumia mbinu gani?
Lakini hata mimi nimewezea na nitawaacha hoi!.. Filipo na ujanja wake wote kashikwa masikio na marejesho, jamaa hakohoi, kadi ya ATM kakabidhi kwa huyo mdada!....lolest!

we bado inaonekana kiwiliwili kimo ndani umetoa kichwa njee kazana.. mi nilitumia stayle ya kambale nikishikwa nateleza chubwiiii

Filipo wameshika zile kengele kabisa wakaweka kwenye kisosi... masikio angekuwa ashanyofoka kama mimi

Marejesho atakuwa amempa ile hudumaya Bedrest jamaa akizinduka atakuta kadi ya ATM mekuwa bussiness card
 
Back
Top Bottom