PLAN B VERYFIED
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 144
- 474
FIFA wanapanga kufanya majaribio ya kadi ya bluu kwenye soka ambapo mchezaji atakayeoneshwa kadi hiyo atatolewa uwanjani na kukaa nje muda wa dakika 10. kadi ya bluu itatolewa kwa mcheza atakayecheza faulo ya kijinga au kupinga maamuzi ya mwamuzi.