M Mmwaminifu JF-Expert Member Oct 15, 2010 1,129 302 Oct 5, 2012 #1 Heshima zenu wakuu. Samahani naomba kwa anayejua zinapopatikana tiketi za fiesta hapa Dar (tofauti na getini) anitaarifu. Nice siku.
Heshima zenu wakuu. Samahani naomba kwa anayejua zinapopatikana tiketi za fiesta hapa Dar (tofauti na getini) anitaarifu. Nice siku.
M Mmwaminifu JF-Expert Member Oct 15, 2010 1,129 302 Oct 5, 2012 Thread starter #3 Risa said: Tune Mawingu FM wanatangaza kila wakati. Click to expand... thanks, ila niko safarini nakuja dar so siipati clouds fm
Risa said: Tune Mawingu FM wanatangaza kila wakati. Click to expand... thanks, ila niko safarini nakuja dar so siipati clouds fm
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 Oct 5, 2012 #4 utapata tu tiketi bila shaka mlangoni hivyo usiwe na shaka