Fiesta 2012

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
Heshima zenu wakuu. Samahani naomba kwa anayejua zinapopatikana tiketi za fiesta hapa Dar (tofauti na getini) anitaarifu.

Nice siku.
 
utapata tu tiketi bila shaka mlangoni hivyo usiwe na shaka
 
Back
Top Bottom