Field Negroes vs House Negroes in the Tanzania Plantation

Nimeipenda hiyo picha ya maandalizi ya fieldf or house negro! tatizo Tz wasaliti kibao!maslahi binafsi mbele nadhani wote tugawane kilichobaki then tuanze moja haina taaaaaaaaaab
 
on that note labda wale wanaosema the only way out is through mtutu wana point, apparently at the moment the house negro is in power and selling everything back to the master au?
 
Negro.JPG


GT, baada ya kuirejea sinema ya Malcom X, ametukumbusha hii dhana ya Field Negro na House Negro. Hii ni moja ya dhana ambazo zinaelezea tatizo la Miafrika Ndivyo Ilivyo. Mwaka jana katika Tamasha la Mwalimu Nyerere pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Wole Soyinka aliitumia kuonesha kuwa Bara la Afrika ni shamba kubwa ambalo lina viongozi ambao ni House Negroes. Sasa swali la kujiuliza ni, je, akina nani ni Field Negroes ambao wanaongoza mapambano ya kuondokana na utumwa ndani ya shamba hili?

Kwa ufupi House Negro ni yule mtumwa/mtumishi wa ndani ya nyumba ambaye anapata upendeleo kutoka kwa Bwana mwenye nyumba hivyo anajiona yeye ni bora zaidi kuliko yule mtumwa anayefanya kazi shambani. Field Negro japo naye ni mtumwa anadhani yeye ni huru zaidi kwa sababu anakula ndani ya nyumba hata kama anakula makombo. Bwana wake akiumwa basi naye anasema tunaumwa: 'Yo master we sick?' Katika historia ya Miafrika hii Mi-House Negroes imerudisha nyuma sana maendeleo ya ukombozi kwa kuwa huwa inafichua siri za harakati za kujikomboa za Field Negroes: 'Master we attacked?' huwa inatoa tahadhari wakati wa 'doing the master's bidding' kama Minyampala!

GT anadai kuwa viongozi wetu wote akiwamo JKN (pichani) ni House Negroes. Mimi sitaki kuamini maana kama hivyo ndivyo hali ilivyo basi we are all doomed for good as in Minigroes ndivyo Tulivyo. May Field Negroes rise to the occassion and stop this House Negroes' foolish and pathetic business of 'Yo Master Investor we bankrupt'? 'Yo Master Donor we attacked'?
Kipo kitabu kinaitwa Negro with a Hat by Colin Grant kisome...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom