tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Leo asubuhi nilifika kituo cha kupigia kura Mokorora shuleni saa 6:05 AM na kuwa mtu wa pili kufika hapo kituoni.
Nilishangazwa na Land Rover 110 za F.F.U zenye askari waliovalia kivita zikiranda mitaani kwa speed kubwa zikiwa zimewasha taa na ving'ora asa if kuna tatizo. kiukweli kila mtu akawa analaani kitendo kile maana hatujui wangapi watakuwa wameogopa kutoka na kwenda kupiga kura.
Hata hivyo huku Tanga mjini, mwamko ni mkubwa balaa! turn up ni kubwa sana!
haya tusubiri yatakayojiri.