Felix Makene Afariki Dunia!

Mkuu Mwawado ni kama anajua jina lake aliokuwa anatumia hapa.Ni vema kama akilitaja ili katika wakati mgumu wa wanaJF tuweze kuchukua baadhi ya busara zake alizowahi kuziandika hapa
 
In a serious note, kama nikifariki sidhani kama kuna atakayejua humu,no one knows KKN, not even my wife, labda niseme msiponiona kwa mwezi mzima muanze kuzimimina buriani tu hapa.Nadhani kuna umuhimu wa kuanza kufahamiana kiundani na watu hapa....
 
Mkuu Mwawado ni kama anajua jina lake aliokuwa anatumia hapa.Ni vema kama akilitaja ili katika wakati mgumu wa wanaJF tuweze kuchukua baadhi ya busara zake alizowahi kuziandika hapa

Mtu:
Kwa maoni yangu, sidhani kuwa lingekuwa ni jambo zuri kutoa jina lake la humu JF wakati huu ambapo hatupo naye tena. Inatosha tu kumwombea kwa Muweza amlaze mahali pema peponi. Amin.
 
Kwa familia ya Felix Poleni, Wanajumuiya ya hapa JF-na wote ambao wameguswa na msiba huu, Poleni. Felix RIP.
 
TUMEMMPOTEZA MPIGANAJI.... RIP bro sote tutakuja huko one day! We waache hawa mafisadi ambao wanaiba utafikiri hawatakufa! sisi tunaendelea kupambana nao bro!
 
Poleni sana. Aisee JF tumeanza kuwa ndugu wa kweli.
Admin naomba tu usidisclose ID yake it was not his wish when he was alive. Kwa hiyo tuheshimu hilo. PLEASE PLEASE.
 
God bless your soul.

I extend my sincere condolescence to Maryam J.; Baraka; Mchuma; Alfred, Alice, and the entire Makene’s family.

Life...
 
Nadhani kama mjane wake ambaye anajua ID yake humu ataamua kutuambia basi atasema vinginevyo, tukubali kuwa hakutaka kujulikana.
 
Back
Top Bottom