Felix Makene Afariki Dunia!

Pole sana kwa familia ya marehemu na tunamwomba mungu aiweke pema peponi roho ya marehemu, amen.
 
RIP Felix.
It is sad he is gone, but we will all go the same way.
 
"One bright morning when my work is over I will fly away home to Zion" Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi;RIP Felix
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao~AMEN
 
RIP felix na poleni sana Mariam & Baraka pamoja na familia yote mungu atawapa nguvu,kama mnaweza let us know member mwenzetu na hakuna ubaya nafikiri.
 
Poleni familia ya Felix na wana jamboforums kwa ujumla.

Mungu ailaza pema peponi roho ya marehemu.

Aluta continur

-Wembe
 
Rest In Peace Felix. Poleni woote mlioguswa na msiba huu. Mungu atupe nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuomboleza. Wanafamilia poleni sana.
 
Pumzika kwa amani kaka yetu. Aliyetuumba ndiye anajua atatuchukua lini na mahali gani; kazi yake haina makosa.
 
What?....Mungu wangu!
Felix Makene!, jamani jamani haya hii lini tena?..na nini zaidi haswa?...
Mwenye mawasiliano na ndugu zake (hasa Alfred) tafadhali naomba namba tafadhali..
Mungu amlaze mahala pema peponi,
Duh haya na alipokuwa JF alikuwa akitumia jina gani?...
Jamani tusiwe tunafichana ID kwa wale tuliotoka sehemu ama kukua pamoja hasa hapa JF maanake maswala kama haya huwa ni shock kubwa na tunashindwa hata pa kuanzia...
 
Rip mpiganaji mwenzetu Felix..ila ma mod plz do some haki kwa wengi wetu tungependa jua jina lake la humu JF lilikua lipi...wengi wape jamani
 
Saalaam kwa ndugu wote wa marehemu, ni majuzi tu kuna mtu aliniambia kuwa alikuwa kwenye life support na kwamba watamuondoa karibuni, anyways Mungu amlaze mahali pema peponi, na kama alikuwa member hapa, ni saafi sana na Mungu atamlipa tu kwa kusaidia kuwaamsha masikini na wanyonge hapa JF!
 
Adios amigo, adios my friend,
The road we have travelled has come to an end.
When two love the same love, one love has to lose,
And it's you who she longs for, it's you she will choose.

Adios compadre, what must be must be,
Remember to name one muchacho for me.
I ride to the Rio, where my life I must spend,
Adios amigo, adios my friend.

Instrumental while he whistles

Adios compadre, let us shed no tears,
May all your maanas bring joy through the years.
Away from these memories, my life I must spend,
Adios amigo, adios my friend...

Instrumental while he whistles to fade.

RIP Felix

Bowbow
 
Back
Top Bottom