Fee za Parking mjini, kwanini hawatumii Risiti za EFD?!

geek jo

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
1,134
1,143
Jamani dunia ya leo bado tunapeana mikaratasi bila record za kielectronic? Huku si ndio kuiibia serikali hii ya Magufuli!

Kampuni mpya imepewa tenda lakini mambo bado yale yale ya kizamani! Huu ni wizi tu wa pesa za wananchi! Tunaomba mtupe risiti za EFD Tujenge taifa letu, tumechoka kuibiwa!

Hali ya maisha ni ngumu jamani!
 
Back
Top Bottom