Fedha 'zilizofichwa' zitarudishwaje kwenye mzunguko? Wataalamu wa uchumi tiririkeni

Gombana na watu wote ila sio wafanya biashara. Kitathimini ilibidi serikali ndo iwe na pesa nyingi kuliko kwa sekta binafsi na watu sababu mianya ya upigaji pesa imeshazibwa na serikali na pesa wamechukua, na bado pia serikali inakusanya kodi kwa kiwango kikubwa kuliko awamu iliyopita, sasa Je pesa ipo wapi? Na kwa kuongezea tu ni kwamba Bank ya CRDB, BOA, TPB wamesitisha mikopo kwa watu binafsi na wafanyakaz.

Mimi sitaki kuchimba ndani kabisa ila naona Serikali iangalie kwa makini hili jambo la ulipaji kodi na utozwaji ushuru, hawa wafanya biashara wasibanwe sana, hata huko Ulaya watu wanakwepa Kodi ndo maana unasikia ishu za Panama papers n.k
 
Simple analysis ya kiuchumi ni kwamba money supply lazima iendane na productivity. Kuwe na uwiano mzuri baina ya uzalishaji na pesa zilizo kwenye mzunguko. Kinachoonekana saiv kwenye uchumi ni kuwa mabenki haya pesa, pesa nyingi watu wametunza majumbani. It means pesa nyingi hazipo kwenye mzunguko. Banks ndio sehemu pekee inayoweza kufanya mzunguko uwe active. Kumbekeni Sera ya raisi na amekuwa akitamka Mara nyingi Akisema anataka watu wafanye Pesa wataiona it means anataka balance ionekane baina ya uzalishaji na mzunguko wa pesa. Lengo la kuprint new notes ni kuondoa excess supply of money in the economy ambayo inatuletea shida kwenye uchumi.
 
Rais Dr. John P. Magufuli amewataka wote walioficha kiasi kikubwa cha fedha wazirejeshe kwenye mzunguko. Imeripotiwa kuwa wapo walioziondoa fedha zao kwenye benki na kuzificha nyumbani kwao.

Wataalamu wa mambo ya uchumi tusaidieni,fedha hizo zitarejeshwaje kwenye mzunguko na zitasaidiaje kupunguza ukata wa fedha wa sasa? Uchumi si fani yangu,mniwie radhi kama nimeuliza swali rahisi au la kitoto. Kuuliza si ujinga!
Hamna hela zilizofichwa mkuu,sera yake ya kubana matumiz ndo imesababisha mzunguko mdogo wa fedha kwenye uchumi...Tusitafte mchawi jaman aongee vizur na mshauri wake wake wa uchumi Prof. Rutasitara ambaye ni mtaalam wa uchumi atamweleza vyema effect za Contractionary monetary and fiscal policy
 
Hapo amemis point.
Swali la ufahamu, je pesa zote walizokamata za wizi na ufisadi wa TRA zilikuwa shilingi au $ ?
Pesa yoyote ya kifisadi cha kwanza inageuzwa $ au € au £ halafu mtu anatulia. Wafanyabiashara wa jumla wa ndani wanaweza umia kwani mzunguko wao ni wa fedha nyingi za TZS.
Watakaoumia ni wale wanaofanya biashara ya cash nje ya nchi. Mfano Tunduma pande zote za mpaka zina kiasi kikubwa cha pesa za kila nchi upande wa pili wa mpaka.
Akitaka kuthibiti aanze na maduka ya fedha za kigeni maana ndo yanayobadili/kutakatisha fedha chafu za tzs kuwa dola na kuwa rahisi kufichika !!
 
Am not one either but here's a quick observation/analysis.

Kama wameziondoa bank, basi hizo hela zimeshakuwa changed to another currency, most likely the US dollar since its very stable na haiflactuate kwahiyo it holds its value for a long time, pia its easy to store/ficha (e.g compare kushika dollar 1000 na tsh milioni moja).
Another scenario is kuinvest kwenye assests which can be liquidated easily at a later time.

So either way kuchange currency nikujipotezea muda.

Ukata wa sasa ni kutokana na serikali kuhamisha fedha zake kwenda BOT, na pia kwasasa BOT wanause monetary contractionary policy.
This is very likely scenario, thanks mkuu. Yaani niwe na several billions nizitoe bank na kuziweka chini ya godoro? with all insecurity mitaani kwetu? (Juzi wamemvamia jirani yangu na kumuuwa but wakaambulia 2 million!! can you imagine killing someone for 2M? ) sasa ndo wasikie umechimbia 1 billion ndani?? na huu ukata?? So hizi pesa kama kweli JPM kaambiwa kuna massive withdraws from our banks zinageuzwa dollar au kununua properties...
 
Simple analysis ya kiuchumi ni kwamba money supply lazima iendane na productivity. Kuwe na uwiano mzuri baina ya uzalishaji na pesa zilizo kwenye mzunguko. Kinachoonekana saiv kwenye uchumi ni kuwa mabenki haya pesa, pesa nyingi watu wametunza majumbani. It means pesa nyingi hazipo kwenye mzunguko. Banks ndio sehemu pekee inayoweza kufanya mzunguko uwe active. Kumbekeni Sera ya raisi na amekuwa akitamka Mara nyingi Akisema anataka watu wafanye Pesa wataiona it means anataka balance ionekane baina ya uzalishaji na mzunguko wa pesa. Lengo la kuprint new notes ni kuondoa excess supply of money in the economy ambayo inatuletea shida kwenye uchumi.
Kama ni kuprint noti mpya, si waprint hizi hizi tulizonazo? Maana hata wakibadilisha watu wataenda kuzibadirisha wabaki nazo upya. Sijaona point hapo
 
Lakini kitendo cha watu kuweka pesa nje ya mfumo wa benki kunahatarisha sana ustawi wa uchumi wa nchi. Hapa naunga mkono juhudi zozote za kurudisha pesa ndani ya uchumi.
 
Si nilisikia pesa hazionekani kwa wale tu waliozoea wizi, ila wanaofanya kazi pesa wanazo, kumbe zimefichwa, dah watu wabaya wanatuumiza
 
Rais Dr. John P. Magufuli amewataka wote walioficha kiasi kikubwa cha fedha wazirejeshe kwenye mzunguko. Imeripotiwa kuwa wapo walioziondoa fedha zao kwenye benki na kuzificha nyumbani kwao.

Wataalamu wa mambo ya uchumi tusaidieni,fedha hizo zitarejeshwaje kwenye mzunguko na zitasaidiaje kupunguza ukata wa fedha wa sasa? Uchumi si fani yangu,mniwie radhi kama nimeuliza swali rahisi au la kitoto. Kuuliza si ujinga!
Sina mengi ila, nakupongeza Sana Wakili Msomi katika uzi huu.
Niruhusu nichangie machache:-
Serikali makini haiwekwi mfukoni na watu wachache,warejeshe pesa ziingie kwenye mzunguko uchumi ukue.
Kiukweli Ugumu wa maisha hausababishwi na serikali bali woga wa matajiri wachache kushindwa kuonesha maburungutu yao kwenye solo LA hisa na kwenye taasisi za fedha badala yake wamegeuza majumbani yao kuwa selves.
Wengine wachache wamejifanza kufirisika ili sijui iweje.?
 
Kama ni kuprint noti mpya, si waprint hizi hizi tulizonazo? Maana hata wakibadilisha watu wataenda kuzibadirisha wabaki nazo upya. Sijaona point hapo
Mkuu zikirudi zote bank then wakaissue notes mpya ni vigumu mtu kutoa pesa nyingi Kutoka na regulations za kibenki maana BOT wanaweza impose policy ya kiwango fulani cha pesa kikitolewa na commercial bank lazima upate kibali BOT. Pia utawala uliopita watu walikuwa wanazoa tu mapesa benki kwa dili mbali mbali lakini wa Sasa Kuna umakini mkubwa, so BOT ikiamua kubana Inawezekana na pesa hazitazagaa ovyo
 
Unajua kweye uchumi kuna kitu kinaitwa money supply yaani Ms ambayo inakuwa defined in m1,M2 and M3 nikianza na M1 in CC + DD yaani currency in circulation plus's demand deposit hivyo magufuli Yuki right kuzungumzia CC iongezeke ili kushusha interest rate na investments kuongezeka. Nampongeza mchumi anayemshauri he real knows.]
Isipokuwa mambo ya uchumi hayaendi kwa amri. Ni kwa motisha/incentive.
 
Ukweli ni kwamba Asilimia kubwa ya walioushika uchum wa nch yetu ni Wafanyabiashara wa kihindi, Na wahindi hawana kawaida ya kuhifadhi madafu ndan, wao wanahifadhi dollar, na pia huweka midollar ya kwenye mabenk ya nje, na iyotabia ya waind hata wafanyabiasha wengne wanatabia kama iyo ya waind, haingii akilin kwamba Juzi tu tulikuwa tunalalamika kwann biashara nyingi zinafanyika kwa dollar? Alafu leo tuseme watu wameficha madafu, hapana sitaki kuamin ivyo
 
Mkuu zikirudi zote bank then wakaissue notes mpya ni vigumu mtu kutoa pesa nyingi Kutoka na regulations za kibenki maana BOT wanaweza impose policy ya kiwango fulani cha pesa kikitolewa na commercial bank lazima upate kibali BOT. Pia utawala uliopita watu walikuwa wanazoa tu mapesa benki kwa dili mbali mbali lakini wa Sasa Kuna umakini mkubwa, so BOT ikiamua kubana Inawezekana na pesa hazitazagaa ovyo
Binadamu hashindwi. Kumbuka kuna wafanyabiashara wakubwa. Kwahiyo nao watakua wanazuiliwa kuchukua pesa?? Hapo ndipo shida inapoanzia mpaka tunaona watu wameficha kumbe mzunguko wa pesa tunauzuia wenyewe. Ifike mahala tuongeze zakwetu kwa zile za kuambiwa
 
yale yele ya kuficha sukari. Kesho si ajabu akina Makonda, Makala, ... wataibuka na kuanza kusaka pesa zilizofichwa kwenye nyumba za watu..
Bhuahahahahaha duh kwaio watakuja uku mtaani kwetu kuzisaka pesa?
 
Mbona jibu ni rahisi. Uhitaji kwenda shule kujua jibu lake: zirudishwe benki!!!!!.
 
Back
Top Bottom