Gombana na watu wote ila sio wafanya biashara. Kitathimini ilibidi serikali ndo iwe na pesa nyingi kuliko kwa sekta binafsi na watu sababu mianya ya upigaji pesa imeshazibwa na serikali na pesa wamechukua, na bado pia serikali inakusanya kodi kwa kiwango kikubwa kuliko awamu iliyopita, sasa Je pesa ipo wapi? Na kwa kuongezea tu ni kwamba Bank ya CRDB, BOA, TPB wamesitisha mikopo kwa watu binafsi na wafanyakaz.
Mimi sitaki kuchimba ndani kabisa ila naona Serikali iangalie kwa makini hili jambo la ulipaji kodi na utozwaji ushuru, hawa wafanya biashara wasibanwe sana, hata huko Ulaya watu wanakwepa Kodi ndo maana unasikia ishu za Panama papers n.k