Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Umarekan haijawah pata rais k.i.l.a.z.a, trump sio chiz ukitaka kujua km jamaa ni noma tuangalie nn atafanya ,anajua nn anafanya kwan w unazan yy alikuwa hajui km kuna uhuru wa mahakama,huyo jamaa ni noma, tafuta vitab vyake usome ndo utajua trump n mtu wa aina gan
I salute you mkuu, Trump ni binadamu mwenye mahesabu makali sana - wapi aliwahi kushindwa akidhamilia kufanya kitu - mwisho wa siku anahibuka mshindi against all odds - huyo Jaji anasukumwa zaidi na mob saikoloje inayo pandikizwa na kundi la kifaidhina wasiopenda mabadiriko ya kweli ya kiutawala iliyo zoeleka miaka nenda rudi i.e watu wachache Merikani wanao jiona ni ruling class/wana hati miliki ya kuwatawala wengine - ndiyo maana Trump alitamuka wazi wazi kwamba anataka wananchi ndiyo wawe na mamlaka/madaraka ya kujiendesha na siyo kikundi cha watu wachache.
Raia wengi wana support efforts za Trump kulinda usalama wa ndani wa Taifa lao, wasio mpenda kisiasa/misimamo ya Trump ndiyo wanaeneza taarifa potofu, gharimia maadamano na kampein chafu kupitia Social Network ili wafanye Dunia idhani/amini kwamba: Trump hafai, Trump ni mbaguzi, Trump ni tishio kwa amani Duniani !! Madai yote hayo hayana ukweli wowote if anything Hillary ndiye alikuwa tishio kwa amani Duniani na kusema kweli ndiye angekuwa chanzo cha WW3.
Binafsi ningependekeza Trump amtimue kazi huyo Jaji kama kuna uwezekano, Viongozi ambao hawataki kufuata maelekezo au sera za Trump waondoke zao/tafute shughuli nyingine ya kufanya na sio kujaribu kuweka wrench kwenye malengo Trump ya kuindeleza nchi yake ikiwemo kulindia Taifa lake dhidi ya external threat which is real.