Mahakama ni CHOMBO HURU HAMNA MAELEKEZO YOYOTE Mahakama inayopokea sehemu yoyoteCc Barbarosa huku ndo kwenye uhuru wa muhimili. Jaji kaonyesha uhuru wa mahakama si kama kwetu mahakama zinaelekezwa nini cha kufanya .

Mahakama gani huru wewe, hizi za kibongo kweli ?! Ambako majaji wanategemea hisani ya mkuu kuwateua kuwa wenyeviti wa bodi na tumeMahakama ni CHOMBO HURU HAMNA MAELEKEZO YOYOTE Mahakama inayopokea sehemu yoyote
Tunajadili UHURU WA MAHAKAMA AU TUNAJADIL MAJAJI KUTEULIWA KATIKA KUPATA MAJUKUM MENGINE??Mahakama gani huru wewe, hizi za kibongo kweli ?! Ambako majaji wanategemea hisani ya mkuu kuwateua kuwa wenyeviti wa bodi na tume
Hayajakukuta lakini hizi za kwetu zinapokea maelekezo hewani ref. Lema's caseTunajadili UHURU WA MAHAKAMA AU TUNAJADIL MAJAJI KUTEULIWA KATIKA KUPATA MAJUKUM MENGINE??
Naomba unisaidie MAELEKEZO YALIYOTOLEWA KESI YA LEMAHayajakukuta lakini hizi za kwetu zinapokea maelekezo hewani ref. Lema's case
Wote wapo chini ya katiba, ila kwa tz raisi yupo juu ya katiba