Federal Judge halts President Trump's Executive order on travel ban

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,077
22,792
President Trump's Executive Order on travel ban has been blocked by a Federal Judge as unconstitutional and unlawful.

Judge Robart’s decision, effective immediately, effective now, puts a halt to President Trump’s unconstitutional and unlawful executive order.

It puts a stop to it immediately, nationwide. The temporary ruling from Robart, an appointee of President George W. Bush, appeared to be the most sweeping legal rebuke to the order since Trump issued it a week ago.

========

A US judge in Seattle has issued a temporary nationwide block on President Donald Trump's ban on travellers from seven mainly Muslim nations.
Federal Judge James Robart ruled against government lawyers' claims that US states did not have the standing to challenge Mr Trump's executive order.

Last week's order has led to protests and confusion at US airports.

Customs officials have told US airlines that they can resume boarding banned travellers while a legal case is heard.

The administration, however, could again block them if it were to win an emergency stay. The justice department says it will appeal against the Seattle ruling.

In a statement, the White House described Mr Trump's directive as "lawful and appropriate".

"The president's order is intended to protect the homeland and he has the constitutional authority and responsibility to protect the American people," the statement said.

Mr Trump's order suspended the US Refugee Admissions Programme for 120 days.

There is also an indefinite ban on Syrian refugees. Anyone arriving from Iraq, Syria, Iran, Libya, Somalia, Sudan or Yemen faces a 90-day visa suspension.

Constitutional battleground - David Willis, BBC News, Washington

Dozens of lawsuits have been filed against the executive order since it was signed by Mr Trump a week ago but this is the first time a nationwide order has been granted - temporarily voiding the president's ban.

But the order could be reinstated once the justice department files a motion to quash the Seattle court's ruling. In a statement the White House initially called it "outrageous", before withdrawing that description.

The executive order caused chaos when it was suddenly introduced a week ago - some travellers arriving in the US were turned back, and protests broke out at airports across the country. The Seattle judge issued his order on the grounds that the travel ban could be unconstitutional - an argument that could be challenged all the way to the Supreme Court.

An estimated 60,000 people from the seven countries affected had their visas cancelled because of the ban. The customs department said those visas would now be reissued, and the people involved were free to travel to the US.

The lawsuit against President Trump's ban was initially filed by Washington State, with Minnesota joining later.

Washington State Attorney General Bob Ferguson has described the ban as illegal and unconstitutional, because it discriminates against people on the ground of their religion.

Mr Trump has argued that his directive is aimed at protecting America. Critics respond by saying that most terror attacks in the US in recent years have been carried out by home-grown militants.

The president said visas would once again be issued once "the most secure policies" were in place, and denied it was a ban on Muslims.
Courts in at least four other states - Virginia, New York, Massachusetts and Michigan - are hearing cases challenging Mr Trump's executive order.

Earlier on Friday, a judge in Boston declined to extend a temporary ban that prohibited the detention or removal of foreigners legally authorised to come to America.

The ban - which only applied to Massachusetts - is due to expire on 5 February.


Source: BBC

========

-
BBbyiSL.img
The Washington Post


The State Department says previously banned travelers will be allowed to enter the United States after a federal judge in Washington state on Friday temporarily blocked enforcement of President Trump’s controversial immigration ban.

“We have reversed the provisional revocation of visas under” Trump’s executive order, a State Department spokesman said Saturday. “Those individuals with visas that were not physically canceled may now travel if the visa is otherwise valid.”

Department of Homeland Security personnel “will resume inspection of travelers in accordance with standard policy and procedure.”

The new measures continue what has been a chaotic roll-out of Trump’s order just more than a week ago that installed a temporary ban on entry by citizens of seven majority-Muslim countries as well as refugees.
 
Cc Barbarosa huku ndo kwenye uhuru wa muhimili. Jaji kaonyesha uhuru wa mahakama si kama kwetu mahakama zinaelekezwa nini cha kufanya .
 
For now President Trump has but to comply with the court ruling. His only other option is to appeal the ruling but he cannot ignore it. That would amount to contempt of court and he would have to face the consequences.

I wonder if people like Barbarosa would ever fathom anything like this. Nobody is above the law.
 
marekan haijawah pata rais k.i.l.a.z.a, trump sio chiz ukitaka kujua km jamaa ni noma tuangalie nn atafanya ,anajua nn anafanya kwan w unazan yy alikuwa hajui km kuna uhuru wa mahakama,huyo jamaa ni noma, tafuta vitab vyake usome ndo utajua trump n mtu wa aina gan
 
Si aelekeze tu kwamba hiyo kesi ivutwe itolewe kwenye mahakama hiyo ipelekwe kwenye mahakama nyingine ili kusudi magaidi wakafungwe haraka!
 
602e6e0ace9ae895b3f9b1792b26f7d4.jpg
Jaji mmoja wa Marekani amesimamisha kwa muda utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kuwazuia raia kutoka mataifa saba, yaliyo na raia wengi wa imani ya Kiislaam kuingia nchini Marekani

Jaji wa Seattle alipuuzilia mbali sababu zilizotolewa na mawakili wa Serikali na kusema kuwa amri hiyo inaweza kusimamishwa mara moja huku kesi hiyo ikiendelea kusikilizwa mahakamani

Serikali inatarajiwa kukata rufaa ya dharura dhidi ya uamuzi huo wa mahakama, ambao ni changa moto kubwa kwa utawala wa Trump

Serikali ya Marekani inasema kuwa makumi ya maelfu ya visa zimefutiliwa mbali tangu Rais Trump kutia sahihi amri ya kupunguza idadi ya watu wanaopaswa kuingia nchini Marekani juma liliopita

Wakati huohuo Waziri Mkuu wa zamani wa Norway, Kjell Magne Bondovik, alisema kuwa alizuiwa katika uwanja mmoja wa ndege mapema juma hili, katika tukio alilosema ni la uchokozi, kwa sababu eti alikuwa na visa ya Iran katika paspoti yake.

Chanzo:BBC /Swahili
 
Ila hawa majaji wa marekani wananifurahisha sana wanavyosumbua kichwa ya bwana Trump
 
Si aelekeze tu kwamba hiyo kesi ivutwe itolewe kwenye mahakama hiyo ipelekwe kwenye mahakama nyingine ili kusudi magaidi wakafungwe haraka!
Hana mamlaka hayo, atakuwa anazidi tu kujiharibia mambo. Yeye anachoweza kufanya ni kuiomba mahakama izuie kwa muda utekelezaji wa amri hiyo ila kwa sasa inabidii aitii hukumu kama ilivyotolewa na mahakama. Na huu ni mwanzo tu, kwa Marekani Rais si mungu-mtu na akivunja Katiba inabidi awajibishwe kama mhalifu yeyote yule.

Ni mahakama tu yenye jukumu la kutafsiri sheria na hili jambo likitinga mahakamani linaweza kuzua balaa zaidi kwani kama itathibitika kavunja Katiba itakuwa balaa. Hii ndiyo maana msemaji wa Rais imebidi atoe tamko tofauti na alivyokurupuka mwanzo alipooiita hukumu ya Jaji outrageous jambo linaloweza kutafsiriwa kama kuidharau mahakama.
 
Hapo sasa ndipo Watanzania nawapenda. Tunajua sana kusoma hadithi nzuri lakini wagumu kujifunnza. Kinachotokea Marekani ndiyo tafsiri sahihi ya utawala wa sheria. Hapa tuna ma-Jaji lakini wanashindwa kabisa kufanya wajibu wao wa kutafsiri sheria na kuifanyia maamuzi kama wenzetu walioendelea wanavyofanya. Rais Obama alipokuja Afrika mwanzoni kabisa akiwa Accra alituasa kuwa Afrika tukitaka kuendelea tukuze na kuzitumia taasisi (Institutions) ipasavyo. Bunge lifanye wajibu wake, mahakama ifanye wajibu wake na Serikali pia. Alituasa tusimtukuze mtu kwa sababu watu wanapita lakini institutions zinabaki. Huo ndiyo msingi endelevu wa jamii kuendelea. Lakini sisi tuliona Rais Obama anatutukana. Sasa Afrika ndiyo vinara wa kufifisha institutions. Ona Mahakama za Marekani na hata Naibu Mwanasheria Mkuu wanavyoonesha wajibu wao. Sisi tunajali mshahara tu. Ndiyo ulemavu, hususan, upofu wetu na ndiyo sababu ya msingi ya kutokuendelea na hili ndio jibu sahihi la swali aliloulizwa Rais wetu mpendwa Kikwete akajibu kuwa hajui kwa nini Tanzania ina maliasili nyingi lakini hatuendelei. Tanzania ni mwanzilishi wa institutions nyingi za kutuendeleza lakini tuliziachia njiani na zingine tumeua kabisa. Tunahusudu "Big men" kisha tunaandika mada nyingi na ndefu kwa nini Tanzania hatuendelei na kisha tunatuzwa PHD. Tunaenda kwenye nchi za wenzetu tunatazama lakini hatuoni. Somo hatulielewi. Na kinachotokea Marekani kwa Trump na Brexit ya Uingereza hivi sasa hatujifunzi wala hatuelewi kisa chake. Labda vita ya dunia ipigwe, watoto wetu baadaye wasome jinsi tulivyokuwa vilaza! lakini sisi hatuoni!!!!!
 
Hana mamlaka hayo, atakuwa anazidi tu kujiharibia mambo. Yeye anachoweza kufanya ni kuiomba mahakama izuie kwa muda utekelezaji wa amri hiyo ila kwa sasa inabidii aitii hukumu kama ilivyotolewa na mahakama. Na huu ni mwanzo tu, kwa Marekani Rais si mungu-mtu na akivunja Katiba inabidi awajibishwe kama mhalifu yeyote yule.

Ni mahakama tu yenye jukumu la kutafsiri sheria na hili jambo likitinga mahakamani linaweza kuzua balaa zaidi kwani kama itathibitika kavunja Katiba itakuwa balaa. Hii ndiyo maana msemaji wa Rais imebidi atoe tamko tofauti na ilivyokurupuka mwanzo ilipooiita hukumu ya Jaji outrageous jambo linaloweza kutafsiriwa kama kuidharau mahakama.
Huyo wa kwetu mbona niliona akiwaelekeza majaji wetu chakufanya kuhusu mjane? kwamba vuta hiyo kesi toka mahakama za chini ilete huku na itolee maamuzi haraka! tuseme kwetu katiba iko sawa hapo?
 
marekan haijawah pata rais k.i.l.a.z.a, trump sio chiz ukitaka kujua km jamaa ni noma tuangalie nn atafanya ,anajua nn anafanya kwan w unazan yy alikuwa hajui km kuna uhuru wa mahakama,huyo jamaa ni noma, tafuta vitab vyake usome ndo utajua trump n mtu wa aina gan
Mbona unajikanyagakanyaga!! Unamzungumzia articles alizoandika wakati judge katumia Katiba yao! Are you sober? Or insane?
 
Huyo wa kwetu mbona niliona akiwaelekeza majaji wetu chakufanya kuhusu mjane? kwamba vuta hiyo kesi toka mahakama za chini ilete huku na itolee maamuzi haraka! tuseme kwetu katiba iko sawa hapo?
Kwa ufupi ni kwamba hatuna mahakama kwa maana ya mhimili ulio huru na uhuru wa mahakama unapokosekana ni kwamba hatuna taasisi yenye jukumu la kutafsiri sheria. Katika mantiki hiyo hiyo ni kwamba hatuna utawala unaofuata sheria...kwa Tanzania Rais ndiye mchezaji na mwamuzi kwa wakati moja na kauli yake ni sheria.

Ni hapa ndipo usemi wa "while the executive has the troops, the judiciary has the marshalls" unapoleta maana kwa wenzetu wenye uelewa wa demokrasia ya kweli. Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa maana halisi anatakiwa atekeleze majukumu yake kama mwanasheria mkuu wa wananchi kwa sababu ni wananchi ndio wenye serikali.

Yanayotokea hivi sasa Marekani yalitakiwa yatupe fundisho lakini kwa bahati mbaya wengi wetu tumetanguliza malahi ya chama mbele ya maslahi ya taifa. Ukisoma michango ya wenzetu wengine humu ni kwamba wanaamini Rais hawezi kukosea na hivyo kumkosoa inakuwa ni jambo lisilotegemewa...tunatakiwa kumshangilia hata akivunja Katiba.

It is not the loudest voice that prevails on the Constitution...in a nation of laws, not even the president can violate the Constitution.
 
marekan haijawah pata rais k.i.l.a.z.a, trump sio chiz ukitaka kujua km jamaa ni noma tuangalie nn atafanya ,anajua nn anafanya kwan w unazan yy alikuwa hajui km kuna uhuru wa mahakama,huyo jamaa ni noma, tafuta vitab vyake usome ndo utajua trump n mtu wa aina gan
Hujui unasema nini...hebu tutajie kitabu kimoja alichowahi kukiandika yeye mwenyewe...
 
Homeland Security Suspends Travel Ban.

Washington CNN - President Donald Trump's government moved swiftly Saturday to comply with a federal judge's order halting his immigration ban -- even as Trump denounced the judge.

The Department of Homeland Security announced it has suspended all actions to implement the immigration order and will resume standard inspections of travelers as it did prior to the signing of the travel ban..
 
Back
Top Bottom