Wisdom
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 472
- 111
Fataki alimpa lift dada mmoja aliyekuwa ametoka church, kwa kuwa dada alikuwa amebeba biblia fataki alijua yule dada kaokoka. ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anamgusa mapaja yule dada, Dada akamwambia Tumia mathayo 7:7, Fataki akajua amepigwa dongo kidogo tu yle dada alifika na kushuka. Fataki akaamua kwenda nyumbani kufungua Biblia akakuta Mathayo 7:7 imeandikwa ombeni nanyi mtapewa, akapiga kelele nimemkosa kijingaaaaa!!!