Fataki na Denti

Wisdom

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
472
111
Fataki alimpa lift dada mmoja aliyekuwa ametoka church, kwa kuwa dada alikuwa amebeba biblia fataki alijua yule dada kaokoka. ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anamgusa mapaja yule dada, Dada akamwambia Tumia mathayo 7:7, Fataki akajua amepigwa dongo kidogo tu yle dada alifika na kushuka. Fataki akaamua kwenda nyumbani kufungua Biblia akakuta Mathayo 7:7 imeandikwa ombeni nanyi mtapewa, akapiga kelele nimemkosa kijingaaaaa!!!
 
Fataki na yeye mshamba alitakiwa amwambie dada fungua hiyo mathayo 7:7 tuone maana saa nyingine uwa mnatutukana kiaina nyie.
 
Fataki alimpa lift dada mmoja aliyekuwa ametoka church, kwa kuwa dada alikuwa amebeba biblia fataki alijua yule dada kaokoka. ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anamgusa mapaja yule dada, Dada akamwambia Tumia mathayo 7:7, Fataki akajua amepigwa dongo kidogo tu yle dada alifika na kushuka. Fataki akaamua kwenda nyumbani kufungua Biblia akakuta Mathayo 7:7 imeandikwa ombeni nanyi mtapewa, akapiga kelele nimemkosa kijingaaaaa!!!

daaah fundisho zuri sana kwa wasiopata muda angalau wa kupitia bible kidogo.

hii inanikumbusha hadithi ya jamaa aliyepewa zawadi ya bible siku yake ya harusi, lakini hakuifungua kwa muda mrefu, kumbe mle ndani mlikuwa na cheque ambayo ina expire baada ya miezi sita. ila bwana harusi alikuwa anajiuliza siku zote ni kwanini rafiki yake kipenzi amempa zawadi ya bible tu? hivyo baada ya miezi 8 kupita ikabidi atoe dukuduku lake kwa kumuuliza rafikie, rafiki yake akamwambia kwani hukuiona zawadi ndani ya hiyo bible? jamaa baada ya kuambiwa hivyo akaifungua ile bible kwa mara ya kwanza lahaulaaaaaaah!!!! akakutana na cheque ila ndo hivyo yena imekwisha muda wake!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom