Fanya Setting hizi kujua aliyekupigia Wakati umezima simu yako(Voda na Airtel tu)

Wanab0di naweza kufanya namba ya mtu iwe divert kwangu bila kufanya settings kwenye simu yake......msaada plz!!!!!!

Wewe pimbi usituletee mambo yako ya wivu wa kijinga, pesa huna halafu unamuonea wivu mwanamke?

Hapa watu wanapeana ujuzi wa vitu useful na siyo mawivu yako.
 
Wasalamu wakuu.
Nitaeleza kwa picha zaidi wakuu.

View attachment 140108
Nenda setting kwenye simu yako.

View attachment 140109
Then ingia kwenye call setting
View attachment 140110

Alaf nenda apo kwenye call fowarding

View attachment 140112

Then utaingiza hizo namba(0754 125125)kwenye hiyo row alafu utabonyeza Enable. Hiyo namba inayoonekana apo ni kwaajili ya watumiaji wa vodacom.

Alafu kwa anayetumia Airtel ataweka 15524, kwenye hiyo row alafu unaweka enable.

Kuna mistype ilitokea mara ya kwanza kwa wanaotumia airtel ilikuwa inagoma sasa waweza fanya inshort like.

UPDATES WAKUU

CODES

*62*15524# Kwa airtel

*62*0754125125# kwa voda.


Unaweza fanya kwenye simu zote iwe iphone, bb, nokia, na makolokocho yote uyajuayo wewe.

Pia nashauri kwa ambaye hataeza kufata procedure za kwenye picha atumie hizo code apo juu.

Pia kwa wanaotumia mtandao wa tigo, juhudi za kupata diversion code au number bado zinaendelea.

Nasubiri feebback hasa kwa wale ambao walishindwa ku activate, pia ieleweke kwamba sipati taarifa zozote kuhusu simu zenu, nasema hivi maana kuna watu wanaeza zani ni namba zangu hizo.

Pia naweka wazi kwamba hakuna garama zozote zilizofichwa kwenye hudumu, hii ambayo kimsingi inatolewa na makampuni husika ya simu.

Pia ukiona inakuboa una option ya kujitoa.

Asanteni sana, Na poleni kwa usumbufu.

nokia 6120c imekubali.
 
Kwenye BB inagoma, inasema "Registration of Call forwading not reacheable returned success"

Tayari ime kubali hiyo, soma hayo maelezo vizuri..
attachment.php

attachment.php

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tayari ime kubali hiyo, soma hayo maelezo vizuri..
attachment.php

attachment.php

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums


Mkuu upomakini sana kusoma na kuelewa, charminglady hukuelewa vizuri, ukanifanya na me nikaona imeshindikana kumbe imeshakuwa activated.

Kama vipi zima iyo simu alafu uipige zen ukiwasha uone kama utapata sms.
 
Last edited by a moderator:
Kama nikitaka kujitoa kwenye hiyo huduma ntatumia CODE zipi,au ndo hakuna kujitoa?
 
Back
Top Bottom