Fanya Hivi Kama Mwanamke Alikupenda Ila Sasa Amepunguza Upendo Kwa Kuwa Haukumjali Lakini Bado Unamuhitaji.

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
663
Aidha ulikua unamchukulia poa tu au kazi zimekulemea kiasi kwamba mahusiano yakaterereka. Kipindi chote iko mwanamke huvumilia lakini akishachoka kuvumilia basi. Mwanamke hupenda taratibu vilevile upendo hupotea taratibu, na kipindi chote hiko hukupa ishara kwamba fanya mpango unijali la sivyo naondoka. Ni muhimu ujue kumsoma mwanamke na utambue kilichopo kwenye maneno yake. Kama haukumjali alafu akaja mwanaume mwingine akaonesha kumjali, unafikiri nini kitatokea? Utaanza kuona anatoka na marafiki zake zaidi ya wewe, au anatumia muda mwingi kazini na kusema hana muda tena na kutaka kujitoa kwako. Yote ni kwasababu anaona hajaeleweka hisia zake, hivyo haoni haja ya kuendelea kuwekeza hisia zake kwako.
.
Inawezekana umejikita kwenye kazi kiasi kwamba umepunguza nguvu ya kuutunza upendo wa mwanamke. Japo unaweza kuwa unampa mahitaji, au unatoka naye mara chache, lakini bado anakuambia humjali.
Maana yake anataka kupata muda zaidi na wewe. Anataka mapenzi zaidi.
Wewe unaweza kuona ana masihara, ukamuambia si ‘tumetoka wiki iliyopita tu apo na nimekununulia unachotaka’. Hivyo ndo sisi wanaume tunafikiri lakini kwa mwanamke kinajalisha zaidi anavyojisikia kwa muda huo. Kwa sisi wanaume ni rahisi kufikiri nikimfanyia hiki mwanamke basi inabidi anipende saivi hadi baadaye lakini kwa mwanamke inajalisha zaidi matendo yako kwa muda huo yanavyomfanya ajisikie, ya nyuma anayasahau.
.
Cha kufanya.
Angalia uhalisia wa maisha yako kwanza, kama unaona hutoweza kutengeneza muda zaidi kwa ajili yenu wawili ni heri umuache msipotezeane muda. Lakini kama unaona unaweza kutengeneza muda kwa ajili yake, basi ujipe muda pia mpaka arudi katika upendo wake kama zamani. Wanawake wanapenda taratibu.
Msikilize malalamiko yake na umpe nafasi akuambie kiundani zaidi anavyojisikia, kama hujamuelewa bora umuambie akuelezee kiundani.
Kama unaona kweli umemkosea hisia zake, mwambie akusamehe na hukupenda kumuumiza hisia zake ivo, umpe moyo kuwa unachokifanya ni kwa ajili yenu nyote.
Kisha jitahidi utengeneze muda wenu pamoja zaidi ya sasa unavyofanya. ila itachukua muda mpaka arudi kwenye ule upendo zaidi kama zamani.
.
Tahadhari.
Kama umejaribu na umejitahidi kutengeneza muda lakini bado unaona hana mpango au ana visingizio vingi ili msionane/ msipate muda pamoja, usije ukajinyenyekeza ili akuone unafaa tena au ukaomba omba upendo tena au kufanya chochote ili upate upendo wake tena.
Jitoe na umwache mpaka akutafute tena akiwa tayari. Wala usiwe na pupa. Usimtafute, kama upo naye karibu salimiana naye kawaida bila kutaka mambo mengi na achana naye.
Kwa kuwa hakuona juhudi zako, ni juu yake kukushawishi tena uwe naye, akikutafuta mambo yasiwe mengi, tengeneza mazingira ya kuwa pamoja aitha muambie mtoke au aje unapoishi basi.
 
Sisi majobless ndio tunaweza kupata muda wa kufanya haya...Ila ma daywalkers sijui kama wanapata wapi huu muda wa kukimbizana na mwanamke!

JamiiForums270470123.jpg
 
Wakati wote unafanya hayo na yeye anakua anafanya nini na shughuli za kimaendeleo atafanya nani?
 
Wenye muda hawana hela na wenye hela hawana muda ila wanawake wanataka wenye hela na wenye muda hapo ndipo matatizo yanapoanza.
 
Balance mahusiano na maisha mengine. Maisha yasisimame, bali mtafute muda ambao wote mtafurahia.
Yaana page lote hilo uliloliandika hapo juu ukimuagiza mwanaume akafanya ndiyo ume balance hapo? Yaani hiyo ndiyo unaita balanced relationship?
 
Kila siku mafundisho dhidi ya mwanamke tu kwani sisi wababa hatuna vya kwetu ...?

Nasikia sauti kwa mbali akilini ikinijibu ati vya kwetu ni mkongo tu..!
 
Back
Top Bottom