Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Ukitaka watoto wengi kwa kutegemea mwanamke mmoja akuzalie hao watoto. Jitahidi umuoe mapema sana. Kabla hajazidi miaka 20 awe ameshaanza kukuzalia..

Wanawake wanapata mimba zisizo na changamoto wanapokuwa wadogo.

Ila ukioa mwanamke wa miaka 28 ama 30. Hawezi kukuzaliwa watoto wanne ama watano. Labda apate mimba za mapacha
Wengine tuna mitambo ya kutotolesha baba mpaka mimba tunaziogopa na nimeanza kuzaa ndani ya 30 hapa mimba 2 watoto 5
 
Wengine tuna mitambo ya kutotolesha baba mpaka mimba tunaziogopa na nimeanza kuzaa ndani ya 30 hapa mimba 2 watoto 5

Hongera sana Yaelekea umepiga mapacha dabo dabo.. mimba moja watoto watatu na mimba nyingine watoto wawili

Nipe na mie nioe mdogo wako. Maokoto yapo ya kutosha tu.

Napenda sana watoto
 
Acha ubishi wa kijinga, sawa.....
JANUARY MAKAMBA aligusia tayari walikua wanaandaa harusi nzuri tu kabla hajafa kwenye speech ya mazishi (which means tarehe ya ndoa ilikua imepangwa sio kama hao wako uliowataja)
Wewe kama ni kataa ndoa, kataa kwa immaturity yako ya kushindwa kumudu kuendesha familia acha kupakazia watu uongo uongo.

Halafu watoto wa nje huwa wanapata migao yao kama kawaida labda familia ya mwanaume wawe mazombie au mama mjengo awe na roho mbaya yeye binafsi
Hebu acha kutudanganya kitoto hivyo. Mtu yuko ICU alafu ndugu wawe wanaandaa harusi? Kadanganyane na January wako sio huku kwa sisi wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom