Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

Mirathi kwa njia ya kiislamu ndio kweli wamepatia haki 100%
Hakuna asie stahili kusogeza pua na kuchomoa mirathi. Mgawano uko wazi kabisa kila mrithi anapata kiasi gani.
Hata marehenu asipoacha usia, Urithi haugawanywi kinyemela sababu kila kitu kiko wazi.
 
Mirathi kwa njia ya kiislamu ndio kweli wamepatia haki 100%
Hakuna asie stahili kusogeza pua na kuchomoa mirathi. Mgawano uko wazi kabisa kila mrithi anapata kiasi gani.
Hata marehenu asipoacha usia, Urithi haugawanywi kinyemela sababu kila kitu kiko wazi.
Kwendeni huko na udini wenu... kwani hapo kilichokosewa nini au huko kwenu mngesema watoto wote haramu asipate mtoto yeyote?
Mirathi haina dini, mirathi inategemea wahusika wanapokeaje taarifa sababu sheria zipo wazi ila wanadamu ndo huwa hawapendi kukubaliana na ukweli in the name of masilahi
 
Mirathi kwa njia ya kiislamu ndio kweli wamepatia haki 100%
Hakuna asie stahili kusogeza pua na kuchomoa mirathi. Mgawano uko wazi kabisa kila mrithi anapata kiasi gani.
Hata marehenu asipoacha usia, Urithi haugawanywi kinyemela sababu kila kitu kiko wazi.

Mirathi ya kiislam ya kusema mtoto wa nje ya ndoa ya kiislamu ni haramu hapati urithi.

Hujui waafrica tuna makabila yetu na tuna ndoa za kimila pia.

Mimi mhaya sababu ni muislamu.. niseme ndoa iliyofungwa kwa mila ya kihaya ni haramu hivyo watoto waliozaliwa kwenye hiyo ndoa ya kimila ya kihaya ni haramu. Hivyo hawapati urithi wa baba yao.

Uislamu una ujinga wa kubagua tamaduni zetu wa africa. Kwa kusema ni haramu
 
Sababu mengi alifunga ndoa. Mke anajiamini sheria inamlinda. Ndugu nao wanaogopa mke asibebe mali zao. Ndio maana mahakamani kesi kibao.

Mengi angekuwa hajawai kuoa mgogoro usingekuwa mkubwa
Shida ni mwanamke kutaka watoto halali Tena wabia katika biashara za baba yao wasirithishwe eti "baba yao kaandika kwenye wosia" na eti "tayari wamesharithi Kwa upande wa mama yao" Hii inaweza kukuingia akilini!?
 
Hata ungekuwa wewe. Tamaa lazima ingekujia... kinachowauma ni kuona mke anakula urithi wa baba yao.

Ndugu wengi wa mume huwa hawapendi mke apate mali. ..

Waafrica tuna amini mke wa kaka sio ndugu yetu. Ila watoto wa kaka ni ndugu zetu.

Hapo wanaona K lyn sio ndugu yao kwa nini apate mali zao. Ndio wanamtengenezea mizengwe mingi.

Kama mengi hasingekuwa na ndoa. Mgogoro usingekuwepo
Uongo mtupu umeandika hapa. Yule gold digger hakutaka watoto wa Marehemu wamrithi baba yao. Eti "Marehemu aliacha wosia wapewe 1000" .Huu upuuzi unaingia akilini!?
 
Uanzie hapo kwenye nukta kueleza
Endelea kusubiri meli Airport
Lakini ungekua na akili kidogo tu, ungeelewa kwamba children are expensive na hela wanayoenda kupewa kwa niaba ya watoto inatua mzigo mkubwa sanaaaa.
Kwa mfano tu mtu akipata 250M kwenye mgao after makato na expenses, 10% return once fixed ni 25M kwa mwaka which is 2+M per month, hiyo hela unalea mtoto bila stress na akikua bado anakua na fungu lake.....

AU ULITAKA MZIMU WA JAMAA UFUFUKE UJE KUWA UNAPLAY PHYSICAL DADDY ROLES?

All in all uwe unauliza maswali yenye akili kidogo sawa?
 
Nani anaendesha kampuni? huyo msagaji? au huyo boya wa kiume, unaijua ipp vzuri wewe na wanaoiendesha tangia mzee akiwa hai ni akina nani? huyo wa kike anaendaga moshi kuchukua hela ya kwenda ngorongoro na mademu zake kuwasaga, hana anachojua, ungesema labda kidogo uncle wao ningekuelewa, ila huyo wa kike na hcho kiazi cha kiume, hamna kitu hapo,
Ni maisha yao lakini. Mbona kama unachukia life style yao!? Kuna kitu wanakupunguzia!?
 
Back
Top Bottom