Familia ya Nyerere tunapinga watu kurudisha kadi za CCM

Mimi ni Andrew Nyerere. Mimi siyo Steve Nyerere.
Watu wanavikataa vyama vya Upinzani. Wapinzani wanaisingizia Katiba kwa kushindwa kwao.
Lipumba yule in fact alikuwa wa kwanza kuaema tunapoteza muda kufanya Uchaguzi na Katiba hii.
Huyu juzi kafanya mku5ano wa hadhara (at about the time Kamala Harris came here),mkutano ule walihudhuria waandishi wa habari tu.
Sasa Wapinzani watazungumza uongo mpaka lini kuisingizia hii Katiba.
Halafu umeona TEC hawakuhudhuria mkutano wako wa Kamati ya Katiba. Watu wa Injili wale,Katiba yako na mambo ya kudunia inawahusu nini?
Debe tupu haliishi kutika. M0inzani anasimama pale lwenye jukwaa,anaongea,ana-sound kama debe tupu,wananchi wanamnyima kura,halafu anailaumu Katiba.
Tatizo siyo Katiba. Haki inatendeka kama kuna utashi wa kisiasa.
Kwa mfano unaona sasa hivi,watu wanagombana na Rais Samia:wanasema spichi yake ya September 11 imewasema vibaya Chadema.
Actually,there is great confusion here. Samia Suluhu alikuwa anakwenda kutoa hotuba kueleza kwa nini Tundu Lissu yuko ndani mahabusu. Lakini( unbeknown to the president) Tundu Lissu alikuwa ameshaachiwa huru kwa dhamana. Lakini yeye alikuwa already programmed to give that speech,the pre-written speech,sasa tunagombana kuhusu something which never happened.
Uandishi wako unaonyesha huna akili timamu. Utakuwa umesahau humeza vidonge vyako vya afya ya akili
 
Kweli,kuna ubadhirifu katika serikali,kuna udokozi wa viongozi wa serikali. Inaitwa "mushkeli" katika utendaji kazi. Lakini siyo "mushkeli". That is the main problem. Tunabishana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za serikali.
Halafu ukiwauliza hawa watu kwa nini wanaiba fedha za umma,watakuambia kwamba wao walikuwa hawana viatu hata walipofika darasa la tano.
Kwa hiyo wananchi wanalalamika kuhusu mambo haya. Lakini ndio urudishe kadi za CCM?
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.

Very low IQ
 
Famikia ya Nyerere ndo kitu gani Nchi yaa si ya Kichief waache Uchoko.
 
Kama kweli ni familia ya Nyerere imesema hivyo, wasisahau katika Wosia wa Mwalimu alisema, Wananchi wasipoyaona mabadiliko ndani ya CCM watayatafuta Nje ya CCM!
Ikifika hatua Wananchi wanachoma kadi za CCM ni kudhihirisha wamechoka!
Kwa hiyo familia hiyo iendelee kuishauri CCM na serikali yake kuwa badala ya kupambana na akina Mbowe, iendelee kutatua changamoto za Wananchi.
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Hoja yako haswa ni nini?

Mwasisi wa zoezi hili leo humjui? Humjui huyo waliyewaaminisha wana CCM kwamba wasipopata maji au madarasa tatizo ni Mkuu wa Wilaya?

Humjui aliyewaaminisha wana CCM kwamba Viongozi wa CCM hata kama wapo siyo wajibu wao kuwaelimisha wanachama wao bali ni Mkuu wa Wilaya?

Acheni kuhamisha magoli eti kwa sababu tu "Mambo yameharibika Sana sana - by JK"
 
Familia ya Nyerere haiwezi kuwa na mwanafamilia Mburura kama wewe. Tena acha kutumia jina la ukoo wa Nyerere kwa upumbavu wako huo narudia tena kama. Labda nikukumbushe kuwa hata mwaka 1995 baada ya Mwl Julius ambaye alikuwa ni muasisi wa CCM aliweza kutamka waziwazi kuwa CCM siyo mama yake akimaanisha anaweza akaachana nayo. Sembuse hao watu wanaotumika kama Condom
Asikupe shida wapo Manyerere wengi, yupo Yericko Nyerere na Steve Nyerere na wengine kibao.

Unachopaswa kufahamu hakuna Mzanaki mpumbavu.
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Watu walirudisha wakati wa Kizimkazi day aliye hai sembuse ya hiyo hayati day?

Hivi mnawaonaje wa Tanzania mpaka kuwapa Elimu ya katiba miaka 3 wakati walisha soma uraia
Heri mngekuja na Elimu ya Ubunge miaka 5 kabla hujagombea tungewaelewa

CCM ukweli imeishiwa!!!!!!!
 
Mimi nimekusoma Andrew.. na tangu mwanzo niliona tuu ni wazi huu ujumbe umetoka kwa mwanafamilia ya mwalimu na hauna lengo lolote kuchafua mbowe.. Ila kuishangaaCCM kwa yanayoendelea. Kuna ujumbe kwenye andiko lako ulio nyuma ya ulicho kiandika. Niwatakie heri watawala ila uwaambie hata huku Kyela kuna mamia wanarudisha kadi hivi karibuni kutokana na kata kata ya umeme
Poppy Hatonn
 
Tuanzie hapa kwanza:

Ni nani mwandishi wa takataka hii inayoletwa kwa jina la familia ya Mwalimu, mbona hajitambulishi watu wakajua.

Mwandishi hatofautishi CCM iliyopo leo na CCM aliyoiasisi na kuiongoza Mwalimu? Yeye mwenyewe angekuwepo leo hii na kuiona CCM hii angeikana moja kwa moja, na huenda angechoma moto lile gamba alilokuwa nalo.

Kwa hiyo huyu mwandishi, anaona ni bora watu wang'ang'anie kuwa na kadi za CCM hata wakati CCM yenyewe haijitambui inasimamia kitu gani?

Halafu kwa ujinga kabisa anauliza ni chama gani kinaweza kuwa mbadala wa CCM. Hawa wanaoiongoza CCM sasa hivi wanazo sifa gani kuzidi hao wengine walioko kwenye vyama vya upinzani?
Utamlinganisha Mbowe na Samia?
Ujue mara nyingi sana hii Id ilikuwa ikileta habari kwenye jukwaa lolote nilikuwa sielewi elewi lakini leo ndio nimemjua ni nani kati ya watoto wa mzee Nyerere.
 
Mimi nimekusoma Andrew.. na tangu mwanzo niliona tuu ni wazi huu ujumbe umetoka kwa mwanafamilia ya mwalimu na hauna lengo lolote kuchafua mbowe.. Ila kuishangaaCCM kwa yanayoendelea. Kuna ujumbe kwenye andiko lako ulio nyuma ya ulicho kiandika. Niwatakie heri watawala ila uwaambie hata huku Kyela kuna mamia wanarudisha kadi hivi karibuni kutokana na kata kata ya umeme
Poppy Hatonn
CCM imeleta umasikini wa kipumbavu sn
 
Mimi ni Andrew Nyerere. Mimi siyo Steve Nyerere.
Watu wanavikataa vyama vya Upinzani. Wapinzani wanaisingizia Katiba kwa kushindwa kwao.
Lipumba yule in fact alikuwa wa kwanza kuaema tunapoteza muda kufanya Uchaguzi na Katiba hii.
Huyu juzi kafanya mku5ano wa hadhara (at about the time Kamala Harris came here),mkutano ule walihudhuria waandishi wa habari tu.
Sasa Wapinzani watazungumza uongo mpaka lini kuisingizia hii Katiba.
Halafu umeona TEC hawakuhudhuria mkutano wako wa Kamati ya Katiba. Watu wa Injili wale,Katiba yako na mambo ya kudunia inawahusu nini?
Debe tupu haliishi kutika. M0inzani anasimama pale lwenye jukwaa,anaongea,ana-sound kama debe tupu,wananchi wanamnyima kura,halafu anailaumu Katiba.
Tatizo siyo Katiba. Haki inatendeka kama kuna utashi wa kisiasa.
Kwa mfano unaona sasa hivi,watu wanagombana na Rais Samia:wanasema spichi yake ya September 11 imewasema vibaya Chadema.
Actually,there is great confusion here. Samia Suluhu alikuwa anakwenda kutoa hotuba kueleza kwa nini Tundu Lissu yuko ndani mahabusu. Lakini( unbeknown to the president) Tundu Lissu alikuwa ameshaachiwa huru kwa dhamana. Lakini yeye alikuwa already programmed to give that speech,the pre-written speech,sasa tunagombana kuhusu something which never happened.
We ni chizi mkubwa huna hoja sijui umelewa huko, hii nchi siyo mali ya Nyerere ni mali ya watanzania wote huyo Nyerere wako kaleta katiba ya hovyo ya kumtukuza yeye na alikuwa ni dikteta mkubwa. Hatumtaki zama zake za kutukuzwa hazipo tena hapa.
 
Wewe utakuwa unayo matatizo, uandishi wenyewe unaonyesha hivyo.
Nikiangalia jina unalotumia 'Poppy', mashaka yanazidi kuwa makubwa juu ya usalama wa akili yako.

Ni jambo la kusikitisha sana kwamba watu walioko ndani ya CCM siku hizi, wengi wao ni wa akili za aina hii hii kama yako, ndiyo maana chama kimekuwa ni janga la nchi hii.
Watu msioamini uwepo wa Katiba inayotupa mwongozo wa kuendesha maisha ya nchi yetu, ni lazima akili zenu ziwe zimefyatuka kama hii yako.
Upo sahihi huyu ni chizi
 
Tuanzie hapa kwanza:

Ni nani mwandishi wa takataka hii inayoletwa kwa jina la familia ya Mwalimu, mbona hajitambulishi watu wakajua.

Mwandishi hatofautishi CCM iliyopo leo na CCM aliyoiasisi na kuiongoza Mwalimu? Yeye mwenyewe angekuwepo leo hii na kuiona CCM hii angeikana moja kwa moja, na huenda angechoma moto lile gamba alilokuwa nalo.

Kwa hiyo huyu mwandishi, anaona ni bora watu wang'ang'anie kuwa na kadi za CCM hata wakati CCM yenyewe haijitambui inasimamia kitu gani?

Halafu kwa ujinga kabisa anauliza ni chama gani kinaweza kuwa mbadala wa CCM. Hawa wanaoiongoza CCM sasa hivi wanazo sifa gani kuzidi hao wengine walioko kwenye vyama vya upinzani?
Utamlinganisha Mbowe na Samia?
Huyo ni chizi kama machizi mengine ya CCM
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Njaa mbaya sana unadhani kwa kuandika hv ndo utalipwa buku 7 pale lumumba! Jitafakari
 
Back
Top Bottom