Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,718
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.
Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.
Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.
Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.
Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.
Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.