Ulitaka mpaka gharama ndogo ndogo zilipiwe na Serikali?...hivi jamani mipaka ya "ubwaba wa Taifa" inaishia wapi?!Pili tushukuru kwa sasa mama maria yuupo hai na baadhi ya gharama za ndogo ndogo anazitoa yeye...
Umefika wakati sasa familia ya Nyerere ijifunze kuwa Serikali (mimi si mshabiki wa serikali za Kisekula)ikikupa unatarajiwa kurudisha/kuchangia japo kidogo!
Ili kuukata huu mzizi wa fitina inabidi cheo cha Ubaba wa Taifa kifutwe! kuabudu kaburi nako kukomeshwe.
Unafiki sio kitu kizuri! Joan Wickens aliripoti (nina hakika kuwa hili linajulikana wazi hapa jamvini) kuwa waliwahi yeye na Nyerere kuzuri nchi zaidi ya 30 katika muda usiozidi miezi sita! huku tukidanganywa kuwa Nyerere hatoki sana nje ya nchi!Edson said:jamaa yenu anakula bata Canada...subiri nae afe.....