Familia ya Nyerere mnaaibisha taifa

Status
Not open for further replies.
Ukombozi wa Tanzania uliletwa na SheikhTakadir.

Did people live in fear during the Nyerere era?
We experienced a very strange way of living because of the terror campaign with the security officers trained in the communist block. It was terrible. People did not trust anyone, even in the families. Wives would not trust their husbands and vice versa because it was a very severe terror campaign. People would disappear silently and no one would be allowed to think about them because if you are suspected to be thinking treason, then you also disappear. We lived under that repressive regime, I mean, all these years until this guy retired after the failure of Ujama, because we did not achieve all these things. We were made to think about things which were not there and believe they are there. To say otherwise was to say treason. This is the terror campaign which subdued us to the level of livestock, which always live in fear of slaughter anytime.

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/291644-mtikila-mahojiano-kiingereza.html
 
Serkali ya Tanzania haina aibu, wamewatelekeza wazee wa Jumuiya ya Africa ya mashariki, sasa wanaietelekeza familia ya walimu.Zigo la laana itawaandama viongozi walioyopo sasa madarakani.
 
mamajack,

Haya uliyoandika hapa sio kweli.

Mjane wa Mwalimu analipwa 40% ya mshahara wa Rais wa sasa kama pensheni kila mwezi hadi atakapofariki. Wanae Mwalimu ni watu wazima na walianza kujitegemea siku nyingi kabla ya Mwalimu kufariki.

Kama wanatoza kiingilio pale ni masuala mengine kabisa. Mama Maria Nyerere anatunzwa vizuri tu sio na serikali hii bali hata Museveni wa Uganda.

Huyo kwa nini naye kajiingiza katika majukumu...??
 
Nadhani kauli ya serikali inahitajika kwenye suala hili. Kwa nini serikali yetu inapenda kunyamazia masuala nyeti kama haya? Tuna watu wa habari kila wizara mbali na kurugenzi ya mawasiliano ikulu kwenyewe.
 
mamajack,

Haya uliyoandika hapa sio kweli.

Mjane wa Mwalimu analipwa 40% ya mshahara wa Rais wa sasa kama pensheni kila mwezi hadi atakapofariki. Wanae Mwalimu ni watu wazima na walianza kujitegemea siku nyingi kabla ya Mwalimu kufariki.

Kama wanatoza kiingilio pale ni masuala mengine kabisa. Mama Maria Nyerere anatunzwa vizuri tu sio na serikali hii bali hata Museveni wa Uganda.
Well, 40% kwa njululu ya bongo si lolote, serikali ilitazame upya hili ili Mama apate ile ya stahili na hadhi yake.
 
Museveni ni "mwanafamilia" ya Mwalimu. Alimpenda sana Mwalimu. Kumbuka pia ni Rais pekee wa nje aliyekwenda hadi Butiama kumzika Mwalimu.
Aisee wewe unataka kugombana na Benjamin Mkapa, Mkapa ndio Mwanafamilia ya JK Nyerere inabidi tumuulize hili swali, na naungana na zomba kuhoji ni nini kazi ya Nyerere Foundation? au na yenyewe ni kama NGO za ukimwi za kugangia njaa?
 
Last edited by a moderator:
Well, 40% kwa njululu ya bongo si lolote, serikali ilitazame upya hili ili Mama apate ile ya stahili na hadhi yake.
Ana huduma nyingine nyingi tu. Huyu mama anatunzwa vizuri tu. Kumbuka pia tuna wastaafu wengine kama mawaziri wakuu akina SAS, Warioba, JSM, CD Msuya, Sumaye, eti na Lowasa naye! Hawa wanakung'uta 80% ya mshahara wa sasa wa Waziri Mkuu Pinda. Tunao pia akina AH Mwinyi na Mkapa. Nao pia wanalipwa pensheni nzito. Kuna wajane wa Sokoine, Rashid, OA Juma, Sheikh Karume.

Hao ni mbali na waliowahi kuwa wakuu wa vyombo vya DOLA ambao nao pensheni yao si haba. Kinachonishangaza mimi bado kuna waliotuibia wakiwa madarakani pamoja na uhakika wa kuishi hadi kufa bila shida yoyote.
 
Nitafafanua. But now I have got other things to think about.

colored blue, usijitwike dunia kichwani, jibu tuhuma za familia haraka bila kuchelewa, hayo unayoyafikiria si mageni hapa duniani, yalishapata kuwepo kitaaaambo! Labda kama unafikiria unyerere tushirikishe tukusaidie kukuweka huru.
 
Watanzania tumezoea ushabiki usio na maana.
Watu wengi hawajui vitu vinavyoendelea na wanachangia kwa kuwa hawana uwezo wa kufikiri.
Moja siwezi kujua kama kweli kuna kiingilio cha kuona kaburi.
Pili ninaelewa wazi wake za viongozi hasa maraisi na waziri mkuu huudumiwa mpaka mwisho wa maisha yao.
Sasa nawaomba sana msichangie msichokijua.
 
colored blue, usijitwike dunia kichwani, jibu tuhuma za familia haraka bila kuchelewa, hayo unayoyafikiria si mageni hapa duniani, yalishapata kuwepo kitaaaambo! Labda kama unafikiria unyerere tushirikishe tukusaidie kukuweka huru.
Hivi unamjuwa Andrew au unaweweseka na jina la Nyerere? unadhani huyo ni fisadi kama Ridhiwani? mwenzako anatembea kwa mguu kutoka Msasani mpaka Kariakoo.
 
Malimwengu! nadhani mleta thread alitapeliwa tu, hakuna kitu kama hicho, nimekuwa nikienda hapo several time - ni kama hija kwangu, hao jamaa wa makumbusho na baadhi ya vijana wajanja wajanja huwa wanapiga deal kwa kisingizio cha wanafamilia, ukilipia makumbusho unapelekwa kila sehemu hadi kaburini bila tozo ingine, tumeambiwa Andrew Nyerere yupo jamvini anaweza sema zaidi,

je ulipewa risti hata kule makumbusho?
 
Hivi unamjuwa Andrew au unaweweseka na jina la Nyerere? unadhani huyo ni fisadi kama Ridhiwani? mwenzako anatembea kwa mguu kutoka Msasani mpaka Kariakoo.

mkuu Matola, sina maana kuwa andrew ni miongoni mwa genge la mafisadi, nimemkumbusha kuwa hakuna anachokifikiria, kama alivyodai, ambacho hakijawahi kuwapo chini ya jua. Afanye haraka kujibu tuhuma.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom