samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 468
kuna haja ya kuwashughulikia hao watumwa wanaowatumikia watu fulani kwa maslahi yao na familia zao. Hongera chdm
Ndiyo karata pekee iliyobaki ya kujiimarisha kisiasa. Wajanja watakihama hicho chma kwani mtawauwa sana ili mkatafute umaarufu wa kisiasa.
Habari nilizopata sasahivi ni kuwa ile Kesi ya Familia ya Marehemu Mawazo na CHADEMA dhidi ya Polisi Mwanza kuhusu kuzuia shughuli za Ibada imekwisha kwa familia na CHADEMA kupewa ushindi na shughuli hizo zitafanyika kama kawaida hapa Mwanza kama zilivyopangwa. Jiji zima liko katika shangwe na amani imetamalaki kinyume na kauli ya RPC NA RC Mulugo
Hakukuwa na ulazima wa kuzuia hili..I hope atalazwa kwa amani soon.RIP Mawazo.
Sasa wamepata ile kick waliyokuwa wanatafuta...!
Tegemeeni kusikia haya kwenye mazishi ;
1. Uchaguzi wa Zanzibar
2. Kususia bunge
3. Katiba Mpya
4. Mfumuko wa bei
5. Lowassa alivyoibiwa kura..
6. Polisi wamemuua mawazo....
Mwisho:
Poleni wafiwa....
Mungu ailaze roho ya Marehemu Mawazo salama salmin...

Msiba huikutanisha jamii.Maovu hukemewa.Misingi ya haki hukumbushwa....!
Usijali hotuba zitaelezea wasifu wa Marehemu mpaka pale alipokuwa Diwani wa CCM kule Arusha. Kisha watasema mengine tuyaache tuu ili tusije muuzi RC Mulugo.
Hakukuwa na ulazima wa kuzuia hili..I hope atalazwa kwa amani soon.RIP Mawazo.
Labda wewe unataka waongee yapi ?? Au waongee Magufuli kanunua vitanda muhimbili ndo utajua wameongea unayoyafikiria
Upuuzi wa karne....! Wanafamilia wana-majonzi afu mkahubirie Katiba mpya....
Wewe ndio utaishi milele eeeee
Iwe ibada kweli na sio platform ya kupiga siasa.