Familia ya Dr. Slaa wamlilia "Ndama Mtoto wa Ng'ombe"

Niseme wazi kuwa mchumba wa Dr ni mama hatari sana.
Habari iliyopo ni kuwa kumbe hati ya nyumba alimpa rafiki yake akakopee huko Equit Bank bila ya mzee kujua na mdaiwa alipobakiza deni la Mil kama 50 kaingia mitini na hata bank walipo toa notice ya kuuza Dr hakuwa amefahamishwa na mchumba mpaka imeuzwa kwa Mil 110 na ndio maana Dr yuko tayari kurudisha hizo 110 ikionyesha kuwa angejua mapema asingeshindwa kulipa hizo 50.
Kwa kweli hata kama penzi ni kikohozi hii sasa ni TB kabisa.
Mie binafsi sasa namuonea huruma Dr Slaa

Usimuonee huruma kwa sababu amesimama na mkewe anamuunga mkono japo Yule ni mtoto wa mjini hana huruma na Mzee ni design ya wachunaji
 
Lakini mchumba pamoja na nyumba kuondoka yeye anakuja na kejeli zake Facebook eti "TUNASOMA MAGAZETI" yaani kama vile hajali kitu, huyu mwanamke inaonyesha ni hatari. Imefika wakati Bw Mahimbo atuweke wazi tumuelewe huyu mama
 
Babu hakukopa, ni Jossie aliyechukua hati ya nyumba na kumpa "rijali" wake bwana Swalehe aende kuombea mkopo Equity Bank,... Jamaa alikwama kurejesha 50M hivyo Equity Bank wamechukua jukumu la kuipiga mnada na aliyeinunua ni Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng'ombe
Hii inawezekana kweli bank kutoa mkopo kwa mtu mwenye jina tofauti na hati ya nyumba bila kuongea na mwenye jina kwanza au kapata hata signature yake as a guarantor nadhani hizi hadithi tu. Haya mambo yanawezekana Tanzania tu kama kuna ukweli na ikiwa Dr Slaa kashindwa kupigana kuokoa nyumba yake kwa situation hii basi kalishwa limbatwa sio bure.
 
Oyolekakindai Ndama Mututooooooooo... Kua utakua wangu wa maishaaa.. Badili eenh mawazo yakoo ooh, ( nisipokuona wewe Nakosaa rahaaaaa, usingizi wa kitandani sipati faida)..
Ndama mutoto ya ng'ombe na jakiii pembaaaaa wapi papa musofe askofu ya kwanza mutu ya pakeee!
 
Nyie watu aisee siwawezi... !! Pamoja na kuwa hili ni jambo binafsi kama lina ukweli hata wa 20% basi Dr. Slaa anatakiwa awahi haraka kupimwa akili. Sio bure wallah
 
Hii inawezekana kweli bank kutoa mkopo kwa mtu mwenye jina tofauti na hati ya nyumba bila kuongea na mwenye jina kwanza au kapata hata signature yake as a guarantor nadhani hizi hadithi tu. Haya mambo yanawezekana Tanzania tu kama kuna ukweli na ikiwa Dr Slaa kashindwa kupigana kuokoa nyumba yake kwa situation hii basi kalishwa limbatwa sio bure.
Taarifa ambazo nimezisoma kwenye Gazeti nikwamba kuna huyo Jamaa anaitwa Saleh..ni mfanyabiashara wa Vifaa vya ujenzi haieleweki wanauhusiano gani na mke wa slaa...hadi kumpa HATI ya Nyumba akopee....
 
Taarifa ambazo nimezisoma kwenye Gazeti nikwamba kuna huyo Jamaa anaitwa Saleh..ni mfanyabiashara wa Vifaa vya ujenzi haieleweki wanauhusiano gani na mke wa slaa...hadi kumpa HATI ya Nyumba akopee....
Benki itakuwa kichaa kutoa mkopo kwa hati yenye jina la mtu mwingine bila ya mwenye nyumba ku-sign as a guarantor in imply terms za mkataba mahakamani wanaweza wasitambue hu kama ni mkataba wa kisheria unaomuhusu mwenye nyumba na dhamana yenyewe iliyotumiwa tayari ni makosa.

Labda kama hiyo hati ina jina la Josephine na kakubali even that Dr. Slaa nadhani angepewa fursa ya kuokoa nyumba yake kwa kutakiwa kulipa deni lililobaki kabla ya nyumba kwenda mnadani sasa iweje ashindwe kulipa sh/m50 halafu awe tayari kununua kwa sh/m110 hapa nadhani for the most part hizi habari ni hadithi za mtaani tu things just dont add up.
 
Hapo kwa ndama mutoto ya ng'ombe mutotoy ya mjini itabidi atoe maana hakuna namna hao ni madalali hatari hapa mjini
 
Mstari unaotenganisha shughuli za ndama na utapeli ni mwembamba sana, huenda binocular tu ndio ikaweza kuuona mstari, pole zao kwa familia ya babu slaa

Popote utakapomuona Ndama ujue karibu yake yupo papa Msoffe au Massawe!!!
 
Benki itakuwa kichaa kutoa mkopo kwa hati yenye jina la mtu mwingine bila ya mwenye nyumba ku-sign as a guarantor in imply terms za mkataba mahakamani wanaweza wasitambue tayari ni makosa.

Labda kama hiyo hati ina jina la Josephine na kakubali even that Dr. Slaa nadhani angepewa fursa ya kuokoa nyumba yake kwa kutakiwa kulipa deni sasa iweje ashindwe kulipa sh/m50 halafu awe tayari kununua kwa sh/m110 hapa nadhani for the most part hizi habari ni hadithi things just dont add up.

Ndugu yangu unachosema nikweli kitu ambacho sote hatuna uhakika...ni..je..HATI imeandikwa jina la nani??....kwa story za Mke wa Slaa zilivyo ni kwamba huyu ni mMAMA wa MJINI sitashangaaa jina likawa nilakwakwe bila hivyo Bank isingekubali lkn ukweli utabaki kwamba Slaa asipojiangalia yule Mama atamharibia Maisha uzeeni....inaonekana Mama anayajua mengi ya Mtaani kuliko DR
 
Ndugu yangu unachosema nikweli kitu ambacho sote hatuna uhakika...ni..je..HATI imeandikwa jina la nani??....kwa story za Mke wa Slaa zilivyo kwamba huyu ni mMAMA wa MJINI sitashangaaa jina likawa nilakwakwe bila hivyo Bank isingekubali lkn ukweli utabaki kwamba Slaa asijiangalia yule Mama atamharibia Maisha uzeeni....inaonekana Mama anayajua mengi ya Mtaani kuliko DR
Ndio maana napata shida kuamini chanzo cha kisa kizima kama wanavyotaka kutulisha humu ndani; lazima kutakuwa na ukweli mwingine sio kama chanzo cha humu kinavyodai au Dr.Slaa akutafuta ushauri wa kisheria wakati yote hayo yanaendelea as it doesnt make sense so far; either watu waache kuwaandikia wenzao visa vya uongo.
 
Hadi benki wakupe mkopo ni lazima mwenye hati ahusike. Na msajili wa hati pia anagonga mhuri wake kule nyuma ya hati baada ya kuridhika kuwa anayemortgage property ni mmiliki halisi, na nakala halisi ya hati inabaki benki. Sasa kama kweli Slaa hakujua yote haya basi inawezekana hati imeandikwa mushumbusi 100% nor common neither joint occupancy
 
Hadi benki wakupe mkopo ni lazima mwenye hati ahusike. Na msajili wa hati pia anagonga mhuri wake kule nyuma ya hati baada ya kuridhika kuwa anayemortgage property ni mmiliki halisi, na nakala halisi ya hati inabaki benki. Sasa kama kweli Slaa hakujua yote haya basi inawezekana hati imeandikwa mushumbusi 100% nor common neither joint occupancy
Si unaona sasa asante mkuu kwa ufafanuzi; unajua watanzania ni watu wasiojuliza kabisa ndio maana raisi wao mstaafu alikuwa anawajua kutwa aliwataka wawe wanachanganya na zao watu walishaanza kuleta hadithi za kutunga humu.
 
Back
Top Bottom