Familia ya Dr. Slaa wamlilia "Ndama Mtoto wa Ng'ombe"

Dr. Slaa kamanda aliyevua gwanda ktk ya Mapambano... Alisahau dhana ya "Collective Responsibility"



Japo alikanusha kukopa.. Ikiwa kweli amekopa naomba mungu amvushe salama.


Ni ujinga kufurahia anguko la mwenzako...


Pole sana Dr. Slaa.
 
Na kuishi kote huko katika hotel za kifahari South africa,serengeti,serena kumbe ni mbwembwe za TISS tuu ili aue ukawa.
 
Niseme wazi kuwa mchumba wa Dr ni mama hatari sana.
Habari iliyopo ni kuwa kumbe hati ya nyumba alimpa rafiki yake akakopee huko Equit Bank bila ya mzee kujua na mdaiwa alipobakiza deni la Mil kama 50 kaingia mitini na hata bank walipo toa notice ya kuuza Dr hakuwa amefahamishwa na mchumba mpaka imeuzwa kwa Mil 110 na ndio maana Dr yuko tayari kurudisha hizo 110 ikionyesha kuwa angejua mapema asingeshindwa kulipa hizo 50.
Kwa kweli hata kama penzi ni kikohozi hii sasa ni TB kabisa.
Mie binafsi sasa namuonea huruma Dr Slaa

Dr. Slaa ana laana nyingi. Kwanza kuivunja nadhiri yake na mungu ya kumtumikia kwa tamaa za kimwili na pesa. Pili kuitelekeza familia yake na mkewe wa ndoa.Tatu kuwasaliti wataka mageuzi wote kwa tamaa na maagizo ya mchumba wake na pengine mwisho kuwachonganisha viongozi wa ukawa na wanachama wao na kuwasemea uongo wapakwa mafuta wa mungu kwa tamaa hizo hizo za mwili na pesa. Chama chake alichokisaliti kilimfanyia fadhila nyingi sana na yawezekana hata nyumba iliyouzwa upo mchango wa chama au m/kiti wake. Kumkubalia aendelee kupokea mshahara na marupurupu yote wanayoyapata wabunge n.k.Huyu bwana hana uzoefu wa masuala yanayowahusu michepuko na utaona hata wanakwenda likizo ughaibuni na kutafuta maisha huko hakuwa na habari ya vitu vikubwa(Assets) kama hati za nyumba kama zipo salama na hazijabadilishwa. Pamoja na yote yaliyokuwa yakimsibu kwa huyu mchumba bado hakuweza kama mwanamme kushtuka na kuchukua tahadhari.Yeye kama padri katika utumishi wake alikuwa akiwahubiri waumini wake maafa makubwa yaliyowahi kuwakuta wateule wa mungu kutokana na hila hizo hizo za wanawake. Kwa uchache tu anakumbuka Adam alipewa tunda na nani. Jee Dellilah wa Samson na jee Luthu aliegeuzwa jiwe la chumvi kwa kukiuka maagizo ya mungu na je aliefanikisha baraka za mkubwa kupewa mdogo na baba yao amesahau. Kwa maana hiyo na bila uchungu asitegemee fadhila ya yeyote tena bali asubiri Mshumbusi atakapogundua hana msaada tena kwake atamwacha barabarani na bora ajirudie mwenyewe mapema kwani kule hayapo mafuso ya kuomba lift.
 
Ataijua utamu wa siasa chafu. Chadema wasimsaidie wamuache aadhirike kama alivo Fanya kwa wenzie.
 
Laana zingine bana wacha tu. Inafaa binadamu ajue kwamba maneno ya watu hasa laana inakuwaga kweli. Utashangaa viongozi wa leo wanawavunja maskini nyumba, watoto wanalia, wamama, wazee etc halafu ukadhani yatapita. Infact mateso wayapatayo yatamrudia yeye asababishae mara tatu. Hii ni sheria ya universe iitwayo karma.

Sasa mzee Muhogo alitegemewa na wengi kisiasa hata kama sio uraisi lakini alikuwa na mchango wake. Ubinafsi, ukasababisha mwanamke akamdanganya akaingia kingi ile ya CCM aliyoikataa miaka yoye. Akapokea vipande vya fedha akasaliti wafuasi wake. Wafuasi wamelia na sasa Mzee anaanza kupata adhabu kutoka kwake mwenyewe.
Ahsante sana kwa hoja ya hekima
 
Slaa awaombe ccm wamlipie si maswahiba wake toka mwaka jana?[/QU
Mkuu CCM walishindwa mlipia kada wao Marehemu Komba itakuwa huyu Kasisi ,unajua kilichotokea kwa Komba mtu aliyewapigania CCM muda wote wa maisha yake na bado wanatumia nyimbo zake mpaka sasa lakini walimtosa kipindi cha matatizo, CCM sio mkuu.
 
Habar zenyewe hazieleweki mara Ndama mara Equip Bank kila mtu anasema lake

Mwl wako alipata tabu mno kukufundisha,,sasa we hujaelewa nn hapo, ndama mutoto ya ngombe kanunua ktk mdana wa benki ya Equity Bank
 
Dr. Slaa kamanda aliyevua gwanda ktk ya Mapambano... Alisahau dhana ya "Collective Responsibility"



Japo alikanusha kukopa.. Ikiwa kweli amekopa naomba mungu amvushe salama.


Ni ujinga kufurahia anguko la mwenzako...


Pole sana Dr. Slaa.
Babu hakukopa, ni Jossie aliyechukua hati ya nyumba na kumpa "rijali" wake bwana Swalehe aende kuombea mkopo Equity Bank,... Jamaa alikwama kurejesha 50M hivyo Equity Bank wamechukua jukumu la kuipiga mnada na aliyeinunua ni Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng'ombe
 
Kufuatia lile sakata la nyumba ya Dr. Slaa limeibuka upya baada ya familia ya Dr Slaa kumlilia Ndama mtoto wa ng'ombe awape Hiyo nyumba kwa kumrudishia fedha zake alizonunua kutoka mnadani.

Ndama amegoma amesema Kama wanataka wammpe mil 440m ambayo ni mara nne ya bei aliyoinunulia kutoka kampuni ya madalali.


NDAMA AONE HURUMA HATA AKITENGENEZA MILIONI 250 KWENYE HII DEAL NI FAIR .....AMSAIIDIE MWANAMUME MWENZAKE ...YEYE ATAFANYAJE ..KAMA MKEWE AKITUMIA NYUMBA YA FAMILIA KUMDHAMINI MKOPO SERENGETI BOY ..??..

Funzo la maisha ..never trust a woman ...andika mali zako kwa jina la watoto wako??
 
Kazi yote aliyokifanyia kile chama chetu kinachopindua pindua kila kitu kimeshindwa kumfadhili.
 
Mshenga na kufika bei koooote huko jameni,umelisaliti pia taifa ,,,,,.,.....umetusaliti wafuasi wako......hata kanisa umelisaliti,,,,,,
 
Back
Top Bottom