Falsafa ya Gamondi: Football is a show game (An Art) bado kuna Mtu ana swali?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,290
Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people who love football. Yanga is a team to watch even if you are not a Yanga fan"..~GAMONDI

Kwa kiswahili kama nitakosea ku translate mnisamehe ila nitajitahidi.

"Nina Furaha na ninajivunia namna vile Yanga inacheza, Kama mnakumbuka Mwanzoni nilisema kwangu Mimi Mpira wa Miguu ni Burudani, tunacheza kwa ajili ya Mashabiki sio tu Wananchi lakini ni kwa ajili ya watu wote wapenda Mpira. Yanga ni timu ya kuangalia hata kama wewe sio shabiki wa Yanga"...Mwisho wa Kunuku
#kuna Mtu ana SWALI?

Screenshot_20240225-075003_Chrome.jpg
Screenshot_20240225-074939_Chrome.jpg
Screenshot_20240225-075223_Chrome.jpg
Screenshot_20240225-073444_Chrome.jpg
 
Nakubaliana na Master, leo kuna kolo nimemfuma anaangalia marudio ya mechi ya jana youtube ame mute simu.
 
Kwa mujibu wa kauli ya Gamondi basi watakaobishia huu uzi ni wale wasiopenda mpira.
 
Back
Top Bottom