plz plz plz hicho cha mwisho kitaje nipate mzuka wa kushusha point.
Speaker Sorry natoka nje ya mada
Ila dada zangu mnapoweka nyusi bandia hamyahurumii hayo macho? Hamyadhamini? Mnadhani kuna spair za macho? Unakubalije kukodoa jicho kubandikwa nyusi? Au kuvaa contact lens za urembo? Ili iweje?
hivi kope zangu ndio umenirusha......?
hebu rudisha bwana....nataka niziweke pasaka hii....mtu chake ananipeleka kisiwani....Mafiaaaaa,,,,,
Kope bandia tunabandika iwe kama canopy, inapunguza vumbi na jua kuingia machoni.
Umenistua, kumbe kuna contact lens feki, I need green eyes ngoja niende kariakoo!
Kwani mawigi yana husiana na ushirikina pia?
Mmmh.. Kazi kweli kweli. Itabidi nijipigie makofi kwa kujikubali.
Mmmh.. Kazi kweli kweli. Itabidi nijipigie makofi kwa kujikubali.
Kiongozi, umeshawahi kujiuliza haya mawigi yanatokana na nini hasa? wanatoa wapi material ya kuyatengeneza? ukichunguza kwa makini utabaini kuwa hiyo ni shirki tu hakuna kingine:A S shade:
How are you Amy?
mrembo huna kitu hata kimoja fake?