Fake + Fake+ Fake = Fake.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake
kweli,ni wanaume suruali tu.
Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua?
Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna kitu".

Sikuongea tena.
Lakini katika kumtazama kwangu bila yeye kujua,chini mpaka juu
niliona yafuatayo.

Alikuwa na Nywele fake (bandia).
Alikuwa na Kucha fake (bandia).
Alikuwa na nyusi fake (bandia).
Alikuwa na rangi fake,mchubuo.
Alikuwa na maziwa ambayo ukiyaona kabisa ni fake (mchina).
*************hiki cha mwisho sitakisema ila ni fake pia.

Nika jiuliza sana,huyu kila kitu kwake ni fake,bado anategemea apate
mwanaume original?

Watakao mfuata ni fake,maana nao wanafurahishwa nae siku moja tu then wana
kimbia coz ufake unachosa haraka.

Yes,alikuwa sahihi,wanaume wote alio kutana nao ni fake,maana yeye ni fake
in the first place.

Kuwa ulivyo,ili upendwe kama ulivyo.
 
plz plz plz hicho cha mwisho kitaje nipate mzuka wa kushusha point.

Speaker Sorry natoka nje ya mada
Ila dada zangu mnapoweka nyusi bandia hamyahurumii hayo macho? Hamyadhamini? Mnadhani kuna spair za macho? Unakubalije kukodoa jicho kubandikwa nyusi? Au kuvaa contact lens za urembo? Ili iweje?
 
ndiyo ulimbwende huo ambao ussually unakuwa customised kulingana na mahitaji ya soko..
 
Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake
kweli,ni wanaume suruali tu.
Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua?
Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna kitu".

Sikuongea tena.
Lakini katika kumtazama kwangu bila yeye kujua,chini mpaka juu
niliona yafuatayo.

Alikuwa na Nywele fake (bandia).
Alikuwa na Kucha fake (bandia).
Alikuwa na nyusi fake (bandia).
Alikuwa na rangi fake,mchubuo.
Alikuwa na maziwa ambayo ukiyaona kabisa ni fake (mchina).
*************hiki cha mwisho sitakisema ila ni fake pia.

Nika jiuliza sana,huyu kila kitu kwake ni fake,bado anategemea apate
mwanaume original?

Watakao mfuata ni fake,maana nao wanafurahishwa nae siku moja tu then wana
kimbia coz ufake unachosa haraka.

Yes,alikuwa sahihi,wanaume wote alio kutana nao ni fake,maana yeye ni fake
in the first place.

Kuwa ulivyo,ili upendwe kama ulivyo.
mkuu nina maswali hapo kwenye red we umejuaje? hapo kwenye blue itabidi useme ni nini ili tujue umejuaje? au ndo kakupata na wewe wakati umeshasema hapo kenye kijani?
 
Aaaaa mura,usiniangushe mbane.
Hata hilo hujui?....kweli huna macho,nitakupa fimbo utembelee.
 
ndiyo ulimbwende huo ambao ussually unakuwa customised kulingana na mahitaji ya soko..

Kweli eh?
haya bana,na ndo wanaume original wanao pata walimbwende wa style hiyo
hao.Ngoma droo.
 
hivi kope zangu ndio umenirusha......?
hebu rudisha bwana....nataka niziweke pasaka hii....mtu chake ananipeleka kisiwani....Mafiaaaaa,,,,,

nirudishie kwanza lile paja langu la kushoto tena liwe jeupe vile vile.. Usiseme limeyeyuka wakati unapika.
 
Dada mmoja alikuwa anasema,hawa wanaume siku hizi ni fake
kweli,ni wanaume suruali tu.
Kalalamika kweli,nili muuliza swali moja tu,wanaume wote unawajua?
Akasema,..."ndo wale wale tu,hamna kitu".

Sikuongea tena.
Lakini katika kumtazama kwangu bila yeye kujua,chini mpaka juu
niliona yafuatayo.

Alikuwa na Nywele fake (bandia).
Alikuwa na Kucha fake (bandia).
Alikuwa na nyusi fake (bandia).
Alikuwa na rangi fake,mchubuo.
Alikuwa na maziwa ambayo ukiyaona kabisa ni fake (mchina).
*************hiki cha mwisho sitakisema ila ni fake pia.

Nika jiuliza sana,huyu kila kitu kwake ni fake,bado anategemea apate
mwanaume original?

Watakao mfuata ni fake,maana nao wanafurahishwa nae siku moja tu then wana
kimbia coz ufake unachosa haraka.

Yes,alikuwa sahihi,wanaume wote alio kutana nao ni fake,maana yeye ni fake
in the first place.

Kuwa ulivyo,ili upendwe kama ulivyo.

Mkuu, hapo umenifurahisha sana! Hata noti anayopewa huyu changua doa ni feki baada ya kupewa penzi feki toka kwa mwanaume feki. Each and every thing is fake now!
 
wanawake wanakomaje?kila siku kusemwa na michina....wapeni pumzi jaman:lalala:
 
Mkuu, hapo umenifurahisha sana! Hata noti anayopewa huyu changua doa ni feki baada ya kupewa penzi feki toka kwa mwanaume feki. Each and every thing is fake now!

hahaha,hapana bana sijasema ni changudoa,na sidhani kama
ana tabia ya uchangu,ila anavo ji-structure mwili wake
mwisho wa siku anakuwa fake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom