faiza foxy na malaria sugu

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
hawa watu nasikia wameanzisha blog yao inaitwa "kwetu pazuri" kwa wale wanaopata ban huwa wanaenda huko
 
Si ban ya maisha nadhani..

Watakuwa waliona wanatofautiana kimitazamo na mods.. Wakaamua kujiondoa.. Ingawa Malaria Sugu nilikuwa nikitofautiana naye,ila alikuwa na burudani ya aina yake..

"Hii ndiyo JF na mimi ndiyo FF,Celebrity No 1 wa JF","unanchekesha","uje upate darsa","hujuwi,kama ungekuwa unajuwa".... Aah.. Huyu ndiyo nammiss kwa sana tu!
 
Sasa hata kama wana blogu yao si watakuwa bored sana? Manake raha ya blogu kubishana na kujibizana.
 
Hao watu wa3 wanaboa kinomaaaaa!!! MS kila sredi ye na CDM tu,Jane000 haeleweki anataka nini,FF yeye ubishi tuuuu.
 
Ngoja nikajaribu kufungua hiyo kwetu pazuri nione kama kweli ipo?
 
Malaria sugu hamalizi miezi miwili bila ban, safi sana ajifunze adabu
 
Back
Top Bottom