Faiza Ally amjia juu mzazi mwenzie Sugu na anajuta kuzaa nae

Faiza anaboa wa kwanza kusimanga wenzie hawana watoto kisha wa kwanza kujipa uvictim. Yeye si superwoman ampotezee tu sugu na kulea mwanae.

Mwenzie flora mvungi alijua kakosea na kujuta kuhusu hbaba kisha akamove on ila huyu anayejiona dada wa mujini kutaka kuishi kwa mashindano kwa pesa za sugu lazima akusanye drama mitandaoni aonewe huruma.

Anajisahaulisha kuwa sugu alishinda kesi ya custody ya mtoto na ana haki ya kumchukua muda wowote atakao
 
Mkuu tumia tu kinga inatosha...mademu wa hivyo nasikia wana vitu amazing
Wewe mimi mwanaume, huo ni mlupo hauna hata ladha yoyote.

Pili mimi ke akiwa hana akili yaani stimu inakata mazima hata iweje simgusi.

Mjinga atakuumbua tu hata mbele za watu kwa chochote ilimradi akuaibishe.

Mwanamke mwenye akili ninamfeel sana sana
 
Faiza anaboa wa kwanza kusimanga wenzie hawana watoto kisha wa kwanza kujipa uvictim. Yeye si superwoman ampotezee tu sugu na kulea mwanae.

Mwenzie flora mvungi alijua kakosea na kujuta kuhusu hbaba kisha akamove on ila huyu anayejiona dada wa mujini kutaka kuishi kwa mashindano kwa pesa za sugu lazima akusanye drama mitandaoni aonewe huruma.

Anajisahaulisha kuwa sugu alishinda kesi ya custody ya mtoto na ana haki ya kumchukua muda wowote atakao
Faiza hataki pesa za Sugu kwa maelezo yake bali mtoto wake Sacha anamsumbua kutaka kuzungumza na baba yake na kilio juu Sugu kagoma kuzungumza na mtoto.
 
Ni ngumu sana kudeal na mwanamke kama Faiza na drama zake.
Sometimes inabidi ukae mbali naye kuokoa familia
Hakuna drama zozote. Huyu mama akili zake haziko sawa. Halafu inaonyesha bado anampenda sana Sugu ila hamna tena namna. Anatumia mtoto kama kinga yake. Ni bora Sugu angafanya manuva amchukuwe huyu mtoto kwa sababu ukubwani atakuja kuwa kama huyu kahaba.
 
Faiza hataki pesa za Sugu kwa maelezo yake bali mtoto wake Sacha anamsumbua kutaka kuzungumza na baba yake na kilio juu Sugu kagoma kuzungumza na mtoto.
Unamtetea bure lakini jamii inaujua ukweli.
Mke wa Sugu anampenda sana huyo mtoto..akichukuliwa kwenda hata likizo mama yake akiona wanaambatana analiamsha tena.

Fuatilia vizuri ili uhukumu kwa haki.

Huyu mama anataka kula kupitia mgogi wa mtoto
 
Sijui nani huwa anamshauri Faiza. Katika kitu ambacho Faiza alikosea ni kumtukana matusi ya nguoni mtandaoni mwanaume aliezaa nae. Sitaki kumtetea Sugu wala faiza labda wote wana makosa siwezi kuhukumu. Lakini nnae muonea huruma ni Sasha. Ndo anaeathirika.
Bongo kwa nini mtu mzima akifanya kitu inaonekana kama ameshauriwa? Hata rais akikosea utasikia lawama zinaenda kwa ''washauri wake''. Watu kama hawa hawachukuwi ushauri popote.
 
Unamtetea bure lakini jamii inaujua ukweli.
Mke wa Sugu anampenda sana huyo mtoto..akichukuliwa kwenda hata likizo mama yake akiona wanaambatana analiamsha tena.

Fuatilia vizuri ili uhukunu kwa haki.

Huyu malaya anataka kula kupitia mgogi wa mtoto
Simtetei bali naona wote wanamtesa mtoto wao kwa hiyo Sugu kukataa kuzungumza na mtoto ni jambo jema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom