Failure: I have failed to find a GF/Lover

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
I'm getting nervous right now
I don't know what's wrong with me.

I have tried so many times to find a girlfriend but all of those I meet I feel like I can't

Nimejaribu Ila imeshindikana kila ninayempenda anaona hatuendani..

Nilimpenda wa kwanza (Girl) akaniambia "Penzi ni pesa siwezi kuwa nawe nipate shida bana kama huna hela tafuta mwenzako"

Nilimpenda wa pili (girl)akaniambia
"We sio saizi yangu hata kuvaa hujui ushamba unao mwingi bado mi level zingine"

Nilimpenda wa tatu (Girl)akaniambia
"Mi siko tayari kuolewa maisha haya ya tit for tat ndo nishayazoea kukaa na mwanaume siwezi"

Nilimpenda wa nne (Girl)akaniambia
"Mdogo wangu sasa wewe tutaongea nini hata hujafikia nusu ya elimu yangu ntakua nakuonea tafuta unaye endana naye''

Nilimpenda wa tano (Girl)akaniambia "mi nataka kuoelewa na mwanaume wa kabila langu we tafuta unaye endana nae kabila"

Sasa nimechoka nimenyoka kama rula
Mawazo yamenijaa
Sijui kama ntampata ambaye tutaendana kweli?
 
Wataanza kukutafuta na wewe wakianza kupata changamoto kwenye mahusiano yao.
 
Tafuta pesa,valia vizuri, Rudi shule, then you will thank me later 😶

Back to school only to have a girl (wife)??!!.

There are so many girls with average education all over Tz who will be ready for wedlock whenever approached. In these days of "vyuma kukaza" the approach to girls is accordingly easy.

Kuoa ni rahisi kuliko kuolewa, ie the general rule.
 
I'm getting nervous right now
I don't know what's wrong with me.

I have tried so many times to find a girlfriend but all of those I meet I feel like I can't

Nimejaribu Ila imeshindikana kila ninayempenda anaona hatuendani..

Nilimpenda wa kwanza (Girl) akaniambia "Penzi ni pesa siwezi kuwa nawe nipate shida bana kama huna hela tafuta mwenzako"

Nilimpenda wa pili (girl)akaniambia
"We sio saizi yangu hata kuvaa hujui ushamba unao mwingi bado mi level zingine"

Nilimpenda wa tatu (Girl)akaniambia
"Mi siko tayari kuolewa maisha haya ya tit for tat ndo nishayazoea kukaa na mwanaume siwezi"

Nilimpenda wa nne (Girl)akaniambia
"Mdogo wangu sasa wewe tutaongea nini hata hujafikia nusu ya elimu yangu ntakua nakuonea tafuta unaye endana naye''

Nilimpenda wa tano (Girl)akaniambia "mi nataka kuoelewa na mwanaume wa kabila langu we tafuta unaye endana nae kabila"

Sasa nimechoka nimenyoka kama rula
Mawazo yamenijaa
Sijui kama ntampata ambaye tutaendana kweli?

Is it a picture of yours in your Avatar??
 
Mapenzi sio maisha bali ni sehemu ya maisha
kwahiyo kama humpati wa kuendana nae ya nini kuumiza ubongo upate msongo, yafute kichwani unaweza kuishi bila ya mapenzi(mpenzi) na maisha yakaendelea
 
Mapenzi sio maisha bali ni sehemu ya maisha
kwahiyo kama humpati wa kuendana nae ya nini kuumiza ubongo upate msongo, yafute kichwani unaweza kuishi bila ya mapenzi(mpenzi) na maisha yakaendelea

🤓🤓, je, wewe sasa hivi huna mpenzi??
 
Aise,mpaka kuna muda natamani kuwa padri.

haya mapigo ya kigaidi yataniua soon :( :(
 
Aise,mpaka kuna muda natamani kuwa padri.

haya mapigo ya kigaidi yataniua soon :-(
 
Mpaka sasa ulimwengu una sayari tisa..
Dunia ni sayar ya tatu..
Ni pekee ambayo binadamu tunaishi..
Iko na nchi 204..
Iko na visiwa 809..
Tafuta tu kaka yangu utapata tu.
Katika nchi na visiwa vyote hvyo huwezi kukosa pepo la sampuli yako..
Ukishindwa kabisa njoo kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom