Mkuu Evelyn Salt, achana naye huyo, kwani nyanya chungu si ndio nature yenyewe au umeambiwa inatiwa kemikali za kizungu au....wengine hawajabarikiwa nature, zipo kama za bata.....
thanks to Bujibuji kwakweli!!!!!
Ukishaonyeshwa njia utakuwa unaenda mwenyewe tu!naogopa kupelekwa gulioni katerero....
Tupe mrejesho ilikuwaje baada ya kutumia?ila bujibuji kasema inaongeza na utamu pia,
mweh asubuhi naamkia sokoni.....
Kwakweli nimekua kama nanasiTupe mrejesho ilikuwaje baada ya kutumia?
Mkuu angalia usije watengenezea watu sumu, hahaaaaChemusha nyanya chungu kama 10 hivi chukuchuku zikishaiva changanya na maziwa mutindi kula kama mixture fulani ni dawa kubwa sana ya k for all purpose
HahahahaaaTFDA wako wapi? mbona kwenye mafuta ya ubuyu walishikia bango?