Faida za nyanya chungu

Dunia ina mambo kaka/dada kuna wengine hata ako kamoja kukapata ni shughuli babu anashtuka kwa msimu akiwa ofisini babu akishtuka anampigia cm mama watoto anamwambia babu ameshtuka tukutane nyumbani haraka

Daaah hii nimeipenda!
 
....wana MMU mkaa bure si sawa na mtembea bure....

Katika matembezi yangu jioni hii nikajikuta nikibadilishana mawazo na binti juu ya mambo ya kimahaba. Punde tukajikuta tukizungumzia aina za K....

Kufupisha binti yule akanitajia aina za K...ila tulipofika kwa zile zinazokua na maji mengi...nikamuuliza nini cha kufanya kupunguza maji....

AKANIAMBIA..

....''dawa ya hyo ni nyanya chungu *ZA KIENYEJI* ..unapiga dozi ya wiki tu..3 TYMS PER DAY..'' akaendelea...''unazichukua kama zilivyo gengeni..hazimenywi...unazichemsha na chumvi then wala..pamoja na supu yake''..

habari ikaishia hapo.,..
Kazi ni kwako bidada...
Bora kujaribu kwani hupotezi kitu,..

Karibuni kwa michango na mawazo.. both
 
Mmmmh sijui kama kuna utafiti wa kisayansi kuthibitisha hili, ila mimi naelewa inasababisha mucus kwa zile kavu au kama mwanamke anaumia wakati wa tendo.

But all in all imani ya mtu ndiyo humponya
 
...huenda ni tiba kweli...kujarib si dhambi
 
Mjifunze na kuandika heading,mtu anatakiwa kujua topiki inahusu nini kabla hata ya kuamua kusoma,hii siyo barua mpaka uifungue ndo ujue nini kinazungumzwa.
NATAMANI KILA ANAEANDIKA MADA YAKE AWEKE BAYANA INAHUSU NINI.
kwani ungeleza mfano.
NYANYA CHUNGU NDIO TIBA:kwa tatizo la PAPUCHI kutoa maji.
TUNGELEWA MOJA KWA MOJA,ama vyote lakini tungeelea,heading tells the whole story in a single sentence.
 
vp ndugu..!!
 
Amesema kwenye matembezi yake akatonywa kuwa nyanya chungu ni tiba.We unataka aandike kwa uhakika kuwa ni tiba wakati yeye hajatafiti.Hapa ameleta kile alichokickia.
 
Mjifunze na kuandika heading,mtu anatakiwa kujua topiki inahusu nini kabla hata ya kuamua kusoma,hii siyo barua mpaka uifungue ndo ujue nini kinazungumzwa.
NATAMANI KILA ANAEANDIKA MADA YAKE AWEKE BAYANA INAHUSU NINI.
kwani ungeleza mfano.
NYANYA CHUNGU NDIO TIBA:kwa tatizo la PAPUCHI kutoa maji.
TUNGELEWA MOJA KWA MOJA,ama vyote lakini tungeelea,heading tells the whole story in a single sentence.

Kweli mkuu.heading ndo mpango mzma
 
wahaya mukowapi? watu wanadanganywa huku, kifupi ni kuwa huku Kagera nyanya chungu hutumika kama dawa ya kuongeza maji kwenye K, na si kwawanaume,
 
Back
Top Bottom