Faida za Maharage

ha haaa umenikumbusha gazeti letu la udaku....'supestar lizzy asema yeye hali ugali na maharage lol
mwanaume anaemtaka ajiandae kwa ma burgers na ma pizza lol
Boss bana, we kweli mwandishi wa udaku maana umeshindwa kusema "labda kama kuna mboa za majani pembeni" ili gazeti liuzike.

Seriously though, labda ule wa kishule shule ambao maharage hata hayaungwi.Ila haya ya kuungwa mi naona yanapendeza kwa wali na chapati bila kuhitaji mboga nyingine pembeni.
 
ili gazeti liuzike wwanachukua nusu,nusu wanakuachia..lol

nimekuuliza unayajua maharage meupe?yaani hayo na wali
au maharage ya mawese....acha kabisa...
 
Ohhh yeahhh, sema mimi napenda mekundu zaidi. Ohhhh na njegere napenda kama sina akili nzuri. . . yani zikipikwa na wali naweza kusahau neno kushiba.
 
ili gazeti liuzike wwanachukua nusu,nusu wanakuachia..lol

nimekuuliza unayajua maharage meupe?yaani hayo na wali
au maharage ya mawese....acha kabisa...
Mkuu kuna yale maharage combat kama avatar ya King'asti, yale ukiyapatia na ka ugali moto moto nakwambia unamsahau waifu na nyumba ndogo kwa masaa kadhaa.
 
Njoo tu na wewe. Mlete na Husney... :)
Husny amepata viza ya zimbabwe hayuko nchini, itabidi nikuje tu mwenyewe, nitahakikisha nakuwa na maadili, naahidi kuwa muda wote wa ugeni nitaweka macho chini na sitoangalia kifuani kwako. Eee mola nisaidie. Tusemeni amen!
 
alafu wewe nimesha kushtukia, una mautundu ya chini chini. Pale uliposema MAharage yamefanyiwa research nimesha edit, ulidhani mod sikuona? I keep an eye on you from now on... :ranger:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom