Faida za BIG BROTHER AFRICA

hakuna faida ktk jamii ni ufuska tuu ndugu yangu!na yale si maisha halisia ya mtaani
 
Faida zipo, Na kama wewe huzipati hizo faida, haina maana kuwa Big Brother Africa haina faida.

We umetoka Kigoma huko ndani ndani faida za Big brother unazijulia wapi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom