Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Pole na mie nakumbuka 2014 nilikondaa mpaka nikatoka visoap dish kwenye shingo kama model ( best zangu wakawa wananitania nikieka maji yanaeza yasimwagike mpaka jioni hahaha)
Ila imepita kipindi ninenepa baada ya kuridhika kidogo
Mungu mkubwa hata mi sikati tamaa,uliridhika vip
 
Basi tafuta kazi au biashara itayokupa mpunga mrefu uikoshe nafsi yako
ngoja nikatafute kazi kwa mtaa
Valeria+Levitin.jpg
 
Ukimaliza kufunga Ramadhani endelea na discipline ile inangawa unarelax kidogo, nimegundua mfungo ni mwanzo mzuri wa kukontrol kula kula.
Yah, ramadhani inasaidia sana. Na me pia hupungua. Lkn ikimaliza tu, kama nataka sifa vile. Siwezi kuji control kabisa
 
Back
Top Bottom