Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

njoo nikugawie minofu basi mwayego:nimekataa

Mbona amekwepa ile ya shemegi! hembu muulize huyo king'asti (baby) mwenzako jee yupo kwenye uhusiano, jee kuna
kitu kinamkwaza, isije ikawa wivu umemzidi halafu anaomba kunenepa!
 
Asubuhi:
-Chapati tatu
-Supu ya Ngombe
-Soda baridiiiiiii
-Maji Baridiiiii ya nusu lita

Mchana
-Ugali Nyama
-SOda Baridiiiii
-Maji nusu Lita baridiiiiiii

Usiku
-Piga Nyama choma na ndizi
-Biereeee baridiiiiiiiiiii

Usipende kutembea sana mwendo mrefu.

Pia Pitia na Huu Ushauri wa Dr Othman Kwenye Hii Clip ni Muhimu sana
 
Attachments

  • Ushauri wa Kunenepa Haraka-Dr Othman.mp3
    3.2 MB · Views: 862
Mbona amekwepa ile ya shemegi! hembu muulize huyo king'asti (baby) mwenzako jee yupo kwenye uhusiano, jee kuna
kitu kinamkwaza, isije ikawa wivu umemzidi halafu anaomba kunenepa!

unachokoza waliotulia ee
 
Achananae. Unazidi kumkondesha. Hivi ukiwa na wivu unakonda eeh? Mbona mie nna wivu sana afu sikondi. Niliambiwa roho mbaya ndo inakondesha, ndo nimeanza hivooo.

Wivu wa ugonjwa huwa unakondesha, wewe una wivu tu wa upendo! roho mbaya inakondesha lakini kama
hauna huwezi kuitengeneza. sijui kama utaweza!!
 
wengine twataka kupungua wenginewanaomba kunenepa usijaribu i have been there and hate ma self everyday kwanza ukiwa mnne unakosa comfidence mbele za watu we nenepa then uje kutusimulia unajisikiaje ni noma
 
Kuna kitu kinaitwa Body Mass Index. Inaangalia urefu na uzito wako. Taja urefu na uzito wako ili tukuambie uongeze weight au upunguze
 
ukisha nenepa tena utataka kuslim kweli kila m2 na akili yake,mi ngekukubali kama ungekuwa unataka kuwa na afya bora:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Habari zenu, najua unene uliozidi si mzuri lakini mimi ni mwembamba sana hivo naombeni ushauri nipate kujua nini cha kufanya au nile vyakula gani ili niweze kunenepa kwa haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom