Hasa maeneo ya Turiani..Milima ya Uluguru Morogoro inalimwa sana, kwa kuwa bei hushuka na kupanda, pia kukosekana kwa sera ya ushawishi kuhusu iliki wakulima wamepunguza kulima. Linastawai milimani, kwenye mvua ya wastani wa 1,500mm hadi 2,000mm. Udongo mweusi.Inaitaji kivuli na vizuia upepo(Shed and wind breaker).
Mpela mpela tu mpaka kieleweke mkuuKweli MKUU, hamna kulala.
Wana panda na migomba kuleta kivuli shambaniMilima ya Uluguru Morogoro inalimwa sana, kwa kuwa bei hushuka na kupanda, pia kukosekana kwa sera ya ushawishi kuhusu iliki wakulima wamepunguza kulima. Linastawai milimani, kwenye mvua ya wastani wa 1,500mm hadi 2,000mm. Udongo mweusi.Inaitaji kivuli na vizuia upepo(Shed and wind breaker).
mm mwenyewe nimeshindwa kuelewa, sijui jamaa kaenda wapiSolo zuri la iriki? Mmh labda mi mgumu kuelewa
Ndiyo soko la iriki mkuuMkuu unamaanisha soko au?
Soko la iriki sema katika andiko langu kumetokea typing errorSijaelewa hata maandiko yako mkuu,