Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Milima ya Uluguru Morogoro inalimwa sana, kwa kuwa bei hushuka na kupanda, pia kukosekana kwa sera ya ushawishi kuhusu iliki wakulima wamepunguza kulima.

Linastawai milimani, kwenye mvua ya wastani wa 1,500mm hadi 2,000mm. Udongo mweusi.Inaitaji kivuli na vizuia upepo(Shed and wind breaker).
 
Nilifanyaga research ya iliki siyo kulima ila ni wapi zinapatikana kwa wingi kwa bahati nilienda sehemu za lutindi,tanga huko nlizunguka vijiji kama 5 kieti,tamota,masangi,nguru,bungu kote huko nlikutana n'a zao la iliki na huko kg1 wanauza 14000 mpaka 16000 n'a kwa dar huku wanauza 25000 mpaka 26000 kwa kg wakomoro wananuua juu kidogo ya hapo......soon ntarudi tena huko kwa ajili ya kununua na kuwa supply watu wangu

Morogoro pia ipo sehemu fulani fulani ila iliki ya tanga wanasema ni the best hata iliki ya india haifikii

Soon nabadilisha tena gia angani mtamuona mrangi kwenye biashara ya mazao maana jiwe lishabuma mh kabana
Ila kwa wabishi kama sisi hata ukibana huku sisi tunapiga kule


OVA
 
Milima ya Uluguru Morogoro inalimwa sana, kwa kuwa bei hushuka na kupanda, pia kukosekana kwa sera ya ushawishi kuhusu iliki wakulima wamepunguza kulima. Linastawai milimani, kwenye mvua ya wastani wa 1,500mm hadi 2,000mm. Udongo mweusi.Inaitaji kivuli na vizuia upepo(Shed and wind breaker).
Wana panda na migomba kuleta kivuli shambani
 
Katikati hapa nilikwenda sehemu za tanga na nimebahatika kukutuna na iriki,natafuta solo zero la kiungo hicho au mwenye kuna nani anachukua zap halo tufahamishane humu....asanteni
20180711_091322.jpg
20180713_141147.jpg
 
Back
Top Bottom